Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

Basi unapima hit song kwa namba za views na sio muziki husika...

Hitsong sio namba za views. Kama ni hivyo basi haujui muziki bwashee
Naujua muziki kuliko wewe, na nimeanza kufatilia muziki pengine kipindi wewe hujazaliwa, hao wasanii wenzake walishasema live jamaa anajua kuvaa tu sio muziki, ukitoa enjoy lini jux alitoa wimbo wa taifa?
 
Jux kwenye muziki hapana, alitumia zaidi ya miaka 10 kupata hit song moja
Kwa mtazamo wako unaweza sema hata wakazi sio mwanamuziki bora. Hana hit song hata moja
 
Naujua muziki kuliko wewe, na nimeanza kufatilia muziki pengine kipindi wewe hujazaliwa, hao wasanii wenzake walishasema live jamaa anajua kuvaa tu sio muziki, ukitoa enjoy lini jux alitoa wimbo wa taifa?
Nimekwambia haujui muziki tuishie hapo
 
Kwa hiyo juma ndio awe rulumodo wetu kweli?unajua biashara ya mama yake Juma unavyomsagia Jacky?unaijuaaaaa?kijana hili jiji achana nalo
Wali base kwenye magari. Mzee wao kabla hajafariki alikuwa fundi gereji.

Hizo zingine ni skendo tuu. Kwamba na yeye anauza madawa? 😂 Wamatumbi hamkosi maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…