Yes, naomba sana arudi kwenye zone yake ya uimbaji... Saiz naona anatafuta international collabos na wanaijeria. Ila akirudi kwenye uimbaji wake kwenye collabos ataenda mbali sanaAnaimba vizuri style yake ilikuwa nzuri alianza kuboa alivyoanza kucopy style za Mondi
kwanini ufuatilie life la mwanaume mwenzio, hauna kazi za kufanya? we sikiliza mziki ukimaliza ni mbele au wew ni mshakunaku?Kilicho nifanya nielezee mahusiano yake ni kwa sababu nafatilia muziki wake which of course imenifanya nifatilie life lake kwa ujumla
Inasikitisha sana mkuu 😂Wewe kila siku unaugulia depression tuu? 😂
Una mindset za kimaskini sana nakuhurumia. Kwahiyo mwanaume anapaswa asifatilie mwanaume mwenzake? Na wanaofatilia wachezaji wa mipra je?kwanini ufuatilie life la mwanaume mwenzio, hauna kazi za kufanya? we sikiliza mziki ukimaliza ni mbele au wew ni mshakunaku?
Naujua muziki kuliko wewe, na nimeanza kufatilia muziki pengine kipindi wewe hujazaliwa, hao wasanii wenzake walishasema live jamaa anajua kuvaa tu sio muziki, ukitoa enjoy lini jux alitoa wimbo wa taifa?
Ulishajibiwa hapa, kuwa ngoma anazotoa sasa ni zinahit ni uchwara na za chini ya kiwango chake mwenyewe Jux.Sasa ivi kaingia kwenye mfumo wa kutoa mahit song uchwara..
Hajui muziki huyo, a nahisi muziki kuwa na views nyingi ndo muziki mzuriUlishajibiwa hapa, kuwa ngoma anazotoa sasa ni zinahit ni uchwara na za chini ya kiwango chake mwenyewe Jux.
Kuna ngoma wasanii wanazitoa zinakua ni hits ila hata wenyewe wanaona aibu kuzisikiliza.
Usije ukasema Madee kwenye muziki hakuwa chochote, ila baada ya wimbo wa nani kamwaga pombe yangu ndio sasa kawa mwanamuziki bora!!
kama kufuatilia huyu kadate na watu wangapi kwa mda gan na kaoa/kuolewa na nani ndo mindset za kitajiri acha ikae bro sihitaji hiyo mindset kamwe bora nipigwe maweUna mindset za kimaskini sana nakuhurumia. Kwahiyo mwanaume anapaswa asifatilie mwanaume mwenzake? Na wanaofatilia wachezaji wa mipra je?
Unajua nyie ndo wale mlokaririshwa ya kuwa kufanya vitu flani na jamii. Mfano mwanaume kuwa na dread ni ushoga, sijui kuchora tattoo ni laana, maisha hayako hivyo. We learn thru others na kufatilia maisha ya mtu sio dhambi kama kuna kitu unajifunzakama kufuatilia huyu kadate na watu wangapi kwa mda gan na kaoa/kuolewa na nani ndo mindset za kitajiri acha ikae bro sihitaji hiyo mindset kamwe bora nipigwe mawe
He was young,Hizi chaguzi zake si chaguzi za mwanaume aliye serious kuwa anataka ndoa. Labda hakuwa tayari kuoa mpaka alipokutana na huyu wa mwisho au alikuwa hajui nini maana ya mke mpaka alipopata uzoefu baada ya kuhangaika na wrong choices.
Ila Vanessa umeona alivyotulia na familia?labda lilikuwa ni chaguzi bora piaHizi chaguzi zake si chaguzi za mwanaume aliye serious kuwa anataka ndoa. Labda hakuwa tayari kuoa mpaka alipokutana na huyu wa mwisho au alikuwa hajui nini maana ya mke mpaka alipopata uzoefu baada ya kuhangaika na wrong choices.
makubwa, wapi nimesema hivyo? hebu usinichekeshe,, alf hakuna mahali nimekuzuia kuacha kumfuatilia juma tafadhari kijana,, unahisi ukiacha nani atatuletea umbea kama huu sis ambao sio wafuatiliaji?Unajua nyie ndo wale mlokaririshwa ya kuwa kufanya vitu flani na jamii. Mfano mwanaume kuwa na dread ni ushoga, sijui kuchora tattoo ni laana, maisha hayako hivyo. We learn thru others na kufatilia maisha ya mtu sio dhambi kama kuna kitu unajifunza
Yes. Maturity huwa inakuja kwa gharama. Ni mara chache sana maturity ije tu bila kupitia mazoezi zoezi fulani ya maisha.He was young,
Kwa mtu wa kawaida lazima tu angeingia mkenge...
Umbeya tena!makubwa, wapi nimesema hivyo? hebu usinichekeshe,, alf hakuna mahali nimekuzuia kuacha kumfuatilia juma tafadhari kijana,, unahisi ukiacha nani atatuletea umbea kama huu sis ambao sio wafuatiliaji?
mi sijui kama kuna uongo au ukweli kwenye story zako ila hizo mambo za kusema "ninyi ndo ambao mnakalilishwa..." ulikuepo?Umbeya tena!
Kuna mahala nimeongea uongo? Unashida wewe🤣 nimetumia nilichojifunza kuleta stori ya funzo... Sijaweka umbeya hapa you dumb head🤣
Sasa kwa hii tabia ya ku judge watu unafikiri imetokea wapi kama sio tabia za kimaskini?mi sijui kama kuna uongo au ukweli kwenye story zako ila hizo mambo za kusema "ninyi ndo ambao mnakalilishwa..." ulikuepo?
huu ni umbea kama umbea mwingine kwasababu unayo yasimulia ni uliyo yaona nje ila ya ndani hauyafaham
Kuna baadhi ya wanawake wakikutana mtu sahihi akili zinarudi kwenye mstari anatulia.Ila Vanessa umeona alivyotulia na familia?labda lilikuwa ni chaguzi bora pia
Madee hata kazi yake Mola alikuwa vizuri tu, ki ufupi madee ana talent nzuri sanaUlishajibiwa hapa, kuwa ngoma anazotoa sasa ni zinahit ni uchwara na za chini ya kiwango chake mwenyewe Jux.
Kuna ngoma wasanii wanazitoa zinakua ni hits ila hata wenyewe wanaona aibu kuzisikiliza.
Usije ukasema Madee kwenye muziki hakuwa chochote, ila baada ya wimbo wa nani kamwaga pombe yangu ndio sasa kawa mwanamuziki bora!!