Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
Siachi, inawezekana huyo jamaa yenu akawa na nyimbo nzuri but sio hitAcha hizo
unaielewa judgement vizuri au umeandika tuSasa kwa hii tabia ya ku judge watu unafikiri imetokea wapi kama sio tabia za kimaskini?
Ndani wapi tena wewe? Inamaana ni mpaka nianze kufatilia maisha personal? Huo ndo umbea sasa
Yes. Ni ni njia nzuri sana ya kukwepa mishale iliyowalenga wengine.Yes, Hakika ila kwa scenario Kama hii inatupa shortcut wengine. We learn thru them
Hakuna popote nilipozungumzia nambaSasa namba ziliakisi uzuri wa nyimbo zake?
Mimi kama shabiki wa Jux nazipinga hizi rumors, jux sio msiri kabisa akiingia kwenye mahusiano..Umeelezea upande mmoja wa Jux je na sisi tueleze upande wake mwengine?
Hebu nenda kamuulize Vanessa alishamfumania mara ngapi pale Hyatt na lile zee la kihabeshi, mara ngapi studio na yule producer, mara ngapi kwenye simu na yule msanii mwenzake, oyaaa unamchoresha tu msanii wako muache alee familia yake,
Vanessa kaona mambo mazito hadi akapata depression mtoto wa watu,
Yes, judgements sio mpak umhukumu mtu kwa usilo lijua kuhusu yeye, judgements ni kumfanya mtu awe victim kwa false beliefs.unaielewa judgement vizuri au umeandika tu
hata huu wa leo ni umbea wa juu juu
Kama Vee katulia hadi raha,.Kuna baadhi ya wanawake wakikutana mtu sahihi akili zinarudi kwenye mstari anatulia.
Inatokea hata kwenye jamii za kawaida kabisa. Kuna Binti alifeli form 4, akawa mtaani sijui ikawaje akakutana na mzungu, akapendwa akawekwa ndani ndo ikawa imetoka hiyo, vijana watabaki alikuwaga hivi alikuwaga vile ila ndo siyo yule tena hata kumsogelea haiwezekani.
HahahaTatizo vijana ni wabishi mno, unakuta akijipata tu anataka akomeshe mtaa kwa kudate vidampa
Labda kapata mtu sahihi.Kama Vee katulia hadi raha,.
InavyooneshaLabda kapata mtu sahihi.