Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
ENDELEA kuwakataa,na hata uwatakao pia wanakukataa🤣🤣Ubaya ni kuwa wao kwa age yao hawa fall into that category... Walitulia kwenye ndoa na kutupa malezi bora. Sijakataliwa ila nawakataa wanawake vichomii
Mwanamueme kamili hakaagi kusutana na wanawake kuwaita majina Anajua status yake na hadhirisho madhaifu yake Kwa kushusha wanawakeMwanaume kamili hujua wanawake real ni wavulana pekee ambao Hu huruma wanawake vidampa
Yaani umeandika as if twafahamiana vile🤣Mwanamueme kamili hakaagi kusutana na wanawake kuwaita majina Anajua status yake na hadhirisho madhaifu yake Kwa kushusha wanawake
akikataliwa anakula buyu sio kuchamba mtaa mzima wajue.
Usijali
Utakuwa sawa
Mchana mweema!
Si ndioo, 😂😂😂List ni kubwa kuna mwengine marehemu sasa hivi, halafu ili ujue huyu kijana hamnazo kaja na ID nyingine eti anamtetea Jux🤣🤣🤣 mtu hawezi kuikataa asili ndo alivyoumbwa kikubwa tuenjoy mziki wake mengine ni yake chumbani kwake
Hapanaa, ni Mbunge.Ndio yule mzungu wa pale hotelini au?