Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

Hivi hizi clearing company zinakwepwaje.? Maana naona kama tunawalipa pesa za bure tuu pasipo kazi. Pia kuna ujanja wowote wa kuchukua mzigo mapema pindi tuu unapowasili na courier kama UPS na DHL?

Maana ni kawaida kwa mzigo kukaa wiki nzima kwao tokea ufike TZ, na kisingizio huwa wanasema ni TRA wanachelewesha mizigo. Ni jinsi gani ya kukwepa huu uhuni.?
 
Eti ina maanisha adress yangu ya #ComGateway ndo niiweke kama shiping adress yangu kwa ebay ili mzigo uende kwao nao wanitumie?
 
Kwa yoyote yule ambaye atahitaji kuagiza kitu katika online site yoyote ile anaweza kuwasiliana nami kwenye email yangu: imanicarrina@gmail.com
Ninaweza kuwa msaada.

I will only answer genuine questions/concerns.

Asanteni

unafahamu chochote kuhusu gharama za kusafirishia mizigo za hawa curriers jinsi wanavyokokotoa na mifano samples za mizigo please unijulishe?
 
Barclays ndo kila kitu.huduma za bei za kiuchumi and fast.haina longolongo.just advance yourself technologically.i do alot of shopping,i shop like champ,system yao ni more advanced.WOOO!

And am about to buy a car via amazon. I am depositing some funds to my barclays account then after some times i will be able to continue shopping like a champ.
 


Asante mkuu kwa hii shule kweli umenifungua sana big up..
 
Wanaohitaji kununua bidhaa ni wengi lakini kikwazo ni procedures zinazohitaji kuwa na bank account, hakuna uwezekano wa kufanya malipo kwa kutumia huduma za mitandao ya simu kama vile tigo pesa, m-pesa nk?
 
Wanaohitaji kununua bidhaa ni wengi lakini kikwazo ni procedures zinazohitaji kuwa na bank account, hakuna uwezekano wa kufanya malipo kwa kutumia huduma za mitandao ya simu kama vile tigo pesa, m-pesa nk?

Sasa mkuu tgo pesa itakupeleka wapi wakati supermarket za bongo tu haitumii.... Request mastercard or visa from your bank
 
Kwanza nashukuru kwa elimu hii. je ununuzi wa njia hii una faida zipi? je unafuu katika bei ukoje ukilinganisha na soko la ndani? kwa mfano bidhaa ya shilingi laki 5 kwa hapa tanzania, naweza kuipata kwa kiasi gani kwa njia hii ya uagizaji baada ya gharama zote?
 

Hivi gadgets kama iPhone ikifika hapa through courier kama fedex nalipa ushuru?
 

Mkuu me nakuaminia sana katika suala zima la tech... Ningependa kujua umejiunga na prime ya amazon na je faida zake ni zipi?
 
Last edited by a moderator:
Ningependa kujua umejiunga na prime
  • Hapana sijajiunga
je faida zake ni zipi
  • Zipo faida nyingi mfano kupata baadhi ya huduma bure ambazo ungetakiwa kulipia, Pia mzigo wako utaupata ndani ya saa 24- 48 baada ya kuweka order na kulipia kwa baadhi ya miji USA na Canada.
Code:
 http://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html/188-5681499-0162522?ie=UTF8&nodeId=13819211
  • Kumbuka kuna free Trial ya Amazon prime
    Code:
     http://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html?nodeId=200444170
Mkuu me nakuaminia sana katika suala zima la tech... Ningependa kujua umejiunga na prime ya amazon na je faida zake ni zipi?
 

Asante sana kwa taarifa mkuu
 
Sasa mkuu tgo pesa itakupeleka wapi wakati supermarket za bongo tu haitumii.... Request mastercard or visa from your bank
Na baada ya kupata hiyo kadi,

Ndipo ataweza kufanya Top Up katika kadi yake kwa kutumia Hizi huduma zaTigo pesa, mpesa

Ila kulipa moja kwa moja hilo haliwezekani KIJANA2013
 
Last edited by a moderator:
Je ununuzi wa njia hii una faida zipi ?
  • Kuna baadhi ya bidhaa hazipatikani kabisa hapa nchini hivyo unalazimika kuagiza nje ya nchi.
  • Bei nafuu - Waweza nunua bidhaa kwa bei ndogo usiyo tarajia mfano TONER A85 moja kwa tz ni tsh 110'000 ; wakati kwa ebay/amazon unauziwa usd 35, sawa na TSH takriba 70'000, zikiwa nne (4) na si moja, Na ghalama ya kusafirishia ni chini ua 120'000. Hivyo hapo utakuwa umeokoa kiasi kikubwa cha fedha
  • Hivyo ni faida kuagiza kuliko kununua hapa nchini kwa baadhi ya bidhaa.
Ila kuna bidhaa zingine bora ununue hapa nchini kuliko kununua nje ya nchi.
 
Hivi gadgets kama iPhone ikifika hapa through courier kama fedex nalipa ushuru?
Kwa fedex kuna uwezekano waweza chukua bidhaa yako bila kulipia chochote

Shida ipo iwapo utasafirisha kupitia DHL, unalipia hata vitu visivyotakiwa kulipia.

Pia ilikuepuka maswala ya ushuru kwa vitu vidogo vidogo tumia huduma kama EMS, USPS,
 
NDIO

Hiyo ndio shipping address yako.

Pindi mzigonukipokelewa utajulishwankwa email

Na pia uki login kwenye account yako ya #comgateway utakuta notification ya kukutaka ufanye malipo ili mzigo utumwe.

Mkuu kutoka kwenye screenshot naomba unipe mfano wa kujaza hapo esp. Postcode, addressline 1&2
 
JZHOELO,Mwl.RCT naombeni ufafanuzi pia juu ya malipo ya fees flan online.ipo hivi: ninataka kulipia fee ya kufanya mitihani ya TOEFL na wao wametoa maelezo kuwa naweza lipia online ingawa pia kuna mawakala wao hapa hapa bongo (nimepiga hesabu nimeona kwa mawakala wao hasa UCC, hamilton college etc ni km gharama ipo juu nami nataka nisave cost japo inapowezekana, nina acc exim bank hivyo nina master card.

Swali ni je ninawezaje kufanikisha mchakato huo? maelezo ya ziada na ushauri juu ya hili utasaidia sana.
 
Last edited by a moderator:
Je kadi yako imefunguliwa kuweza kutumika kufanya malipo online?

Kama jibu ni ndio: Fuata hizi hatua

  • Login in kwenye site husika unayotaka kufanya malipo
  • Chagua njia ya malipo kati ya zilizo orodheshwa - Kama una account ya Paypal na Kadi yako ume_link kwa paypal, Basi paypal ndio chaguo sahihi, Ukichagua paypal utalazimika ku_login kwanza, Kisha chagua lipa kwa paypal.
  • Kama hauna account ya Paypal, Chagua kulipa kwa Master/Visa Card.- Ingiza taarifa zote zinazotakiwa, Kisha ruhusu malipo yafanyike.
  • Hakikisha taarifa zako za kibenki unaingiza kwenye site ambayo ni https , utaangalia kwenye address bar kushoto.
Kama utahitaji msaada zaidi waweza kuuliza kwa ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…