Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

imekuaje mbna mm huyu bwana nilimuagiza vitu mara 2 na vilifika na wala hajui ID yangu na wala sijui hata sura yake
vitu vilivyofika nilienda kuchukua POSTA
ebu tupe taarifa zaidi alimtaperi vipi na ilikuaje
Muulize mwenyewe, labda hizo nazo ni mbinu za kujenga jina, kama ilivyo kwa upatu/DESI,wengine wanaliwa wengine wanapata.
 
Huyo Mwl.RCT pia nae ni tapeli, kamtapeli ndugu yangu.
Please weka vithibitisho.

Kama hujaweka vielelezo si sawa,utakua unamchafulia jina na kumwaribia biashara yake..

Nimewahi nunua kwa huyu bwana na vilifika bila tabu kwa uaminifu mkubwa...

Kwa hizi shutuma zako umenifanya nianze kupata mashaka.

Tafadhali thibitisha tuhuma zako.
 
Acha kujipendekeza, kwani yeye hana mikono? Au wewe ni mke wake? Mbona sijakutaja wewe?
 
- Huu utaratibu ni kwa express shipment kama DHL ndio hizo taarifa mbili tu hutakiwa.

Fika posta makao makuu ukiwa na tracking number, omba wakutafutie huo mzigo.

Mkubwa samahani nashindwa kulink amazon na paypall naomba msaada
 
Amazon wana mfumo wao wa kujitegemea.
Weka taarifa za kadi yako amazon na miamala ya manunuzi itafanikiwa.

Na ebay je wanaruhusu kutumia payal? Maana naambiwa kwamba the ability to link paypal account is no longer availble. However any previously linked account remains active
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]wewe ndio nimekuelewa kirahisi japo lugha yako Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukitaka kusafirishiwa na meli unafanyaje!?
 
paypal yangu ni ya kitambo na sasa nahitaji kupata kadi ya Bongo inayoweza lipia/ link na paypal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…