and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ingia www.ccm.or.tz utapata kila kituKuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!
Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Gharama za TRA hadi mzigo husika ufike nchini. Kwa kutumia invoice value watakupa gharama za kodi za kulipia.shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi!
Hapa mzee nimeelewa vizuri sana! Nimechukua zile hisabati kama case study ngoja nifanye hii ya kwangu nione approximation zitakaajeGharama za TRA hadi mzigo husika ufike nchini. Kwa kutumia invoice value watakupa gharama za kodi za kulipia.
Ila iwapo unahitaji kujua makadilio, Ingia hapa na angalia mfano wa hesabu jinsi inavyofanyika| Kukatwa kodi kwa mizigo | Post namba #4
Haya manunuzi ya mtandaoni nimekua nikitumia kwa sites za hapahapa tz kama jiji, zoom, kupatana na wenzie na mambo yanaenda, tena kuna wengine hulipi chochote mpaka mtu wa delivary afike na mzigo ndio mna malizanaGharama za TRA hadi mzigo husika ufike nchini. Kwa kutumia invoice value watakupa gharama za kodi za kulipia.
Ila iwapo unahitaji kujua makadilio, Ingia hapa na angalia mfano wa hesabu jinsi inavyofanyika| Kukatwa kodi kwa mizigo | Post namba #4
- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaSasa hii machine ninayotaka kuiagiza sina imani kabisa na ku deposite kwa mtu zaidi ya million moja na huku mtu mwenyewe si mjui na hata baada ya hapo nitampata vipi,
Nafanya hiyo kazi, Pitia thread yanguJe! Ni agents gani ambao ninaweza kuwapatia maelezo ya ninachotaka na gharama wakaniagizia hicho kifaa, wakafanya procedure zooote mpaka mwisho
Angalia Amazon wako user friendly sababu unawekewa pamoja na bei ya mpaka Kodi.Kuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!
Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Cheki hapoKuna bidhaa nahitaji kuiagiza, kimashine kidogo kwa matumizi ya nyumbani, shida niliyo nayo ni kuto elewa jumla ya gharama yake mpaka kinanifikia mkononi! Maana calculator ya TRA ina taka magari tu!
Je napataje gharama halisi ya hiyo bidhaa mpaka kunifikia!
Shukrani mkuu- Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
=
Je umepitia huu uzi? Angalia reviews post ya kwanza. Iwapo huna hakika na unachotaka kufanya waweza kunipa kazi.
Nafanya hiyo kazi, Pitia thread yangu
Hawa amazon wana import kutokea chinaCheki hapo
View attachment 2576922
Hapana hawana hii huduma kwa China.Hawa amazon wana import kutokea china
Ninachofahamu, amazon ninya wamarekani ila mizigo ya kutoka china inauzwa pia amazon, kikubwa anagalia bidhaa unayohitaji kama wanayo au laHawa amazon wana import kutokea china
[emoji120]Hapana hawana hii huduma kwa China.
Ebay huwa wakituma mizigo inafika posta?Mkuu Mimi pia nawakubali AliExpress.Wapo cheap.
Naona pale wanalist maashiping agent ambao siwajui.. kuna namna ya kuwaweka unaowataka?Unaongea nao kama wanaweza kukutumia huku Tanganyika.
Kama hawatumi ,tafuta agent aliyepo huko China then wao watamtumia atakuletea huku.
Mimi nilitumia Sifex cargo( wacheck Instagram)
Wao wanacharge 11.5 USD kwa kilo.
Ndani ya wiki mzigo unaupata
Zinakua na alama gan mkuuWewe hunakazi ya kutafuta shipping agent, muuzaji ndie atafanya.
Nunua product zenye free shipping
Mkuu hawa watu ni trusted. Huku bei rahisi nataka niagize mzigo wa kuuza mtaaniEndeleen sijui Alibaba Alimama mkija kupigwa mrudi mkilia hapa