unafanya kwa Credit Card...Aliexpress hamna PAYPAL ila wana ESCROW ambao wao wanashika pesa kama Brokers mpaka buyer a confirm mzigo umefika na uko na similar descriptions wakati ananunua....
then ukishaupata una confirm umepokea ndio wanamlipa PESA YAKE MUUZAJI
na unaweza kufungua KESI (dispute) ikiwa una mashaka na item yako uliyopokea LI EXPRESS wakishirikiana na ESCROW watakusaidia kupata aidha refund au new item from seller
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.htmlKama title inavyosema, nataka kufanya manunuzi online (amazon) ya laptop..nataka kujuzwa mchakato mzima unaendaje mpka napata bidhaa hyo..vilevile ningependa kujua kama laptop inatozwa kodi.
naomba contacts zako nahitaji kufahamu zaidi kuhusu aliexpress na mimi niagize mzigo
- Katika list ya forwarding company ongeza hii " ComGateway"
- Iko safi zaidi - ukilinganisha na myusu.com
- Tena wana application yao ya android inayokuwezesha kufanya ulinganifu wa bei toka masoko tofauti tofauti.
- Iko salama zaidi, hakuna charges zilizojificha, Kujiunga ni free JZHOELO
Je vilipofika bongo ulilipia ushuru?Mimi nimewahi tumia MyUS. Kweli wana ship hata kabla hujalipa au hata kama account yako haina kitu. Shida yao kubwa ni gharama ya usafirishaji. Japo walinikopesha, lakini vifurushi nilivilipia kwa gharama kubwa.
Hivi, kuna umuhimu gani wa kuwa na akaunti ya Paypall? na je tofauti yao na benki ni nini?
je unaweza kufanya international transfer kupitia paypall ? au wana restrictions
Mizigo yangu yote natumia posta, huwa siwaambii sellers watumie DHL kwasabab siwaamini
kwa njia ya posta mzigo mkubwa inawezekana?
Ukubwa kama nini mkuu??
Kwa mfano tv au home theater...ukubwa huo...mf. smart tv nchi 32 nikitaka kuagiza
Tumia makampuni ya kusafirishia mizigo kama dhl, fedex etc. Hii itasaidia sana kwenye handling yake, kwasababu huo mzigo ni fragile sana ukitumia posta ni majanga