Jiji la Arusha limekosa vituo vya daladala, pembeni ya barabara kuu ndio mwisho wa kituo

bro kunywa soda hapo
mimi si mwenyeji wa Arusha ila nafanya kazi na taasisi ya kijamii inayoendeshwa na waholanzi
kuna raia kibao wa kigeni nimefanya nao kazi hakuna hata mmoja aliyewahi kulalamikia uhalifu
kuna upotoshwaji mkubwa sana unaofanywa kuhusu hali ya usalama na maisha ya Arusha
Arusha is a very peaceful place ndio maana panaitwa geneva of Africa
na sio tu Peace but very developed when it comes tu private sector investments.

ila tu maskini zetu tukishindwa kitu fulani tunaishia kuponda ndio ile mtu anasema sipendi mimi makuku kuku na ma pizza yanaleta presha kisa hana hela
mtu ameshindwa kulala hoteli ya Arusha kafikia ngarenaro uko kwa shangazi anaishia kusema kuna vibaka

mtu anatoka london anakuja kuspend Arusha huyu mwingine yuko hapo manzese tu analalamika eti nikienda Arusha ntaibiwa

kwanza wanakitu hata cha kuibiwa🤣🤣
 
Pole sana kiongoz kanda ya ziwa Arusha hatuna league na nyie mtafuteni mbeya
ila mwendazake alijua kuwapa kiburi ghafla mkajikuta mmekua kanda pendwa sasahivi ndo mnashtukia mkoa kwenye lindi la umaskini

hatuwezi kuwa na ligi na mafukara sisi
ngoja tukumbushane manake binadamu tumeumbwa kusahau 🤣🤣

 
ukiniambia wewe ni wawapi kwanza niko tayari kukuhesabia hayo magorofa 20 tena ni zaidi ya 20
tafuta hela kijana ndio maana sehemu unazonitajia zote ziko kwenye njia za daladala
 
ukiniambia wewe ni wawapi kwanza niko tayari kukuhesabia hayo magorofa 20 tena ni zaidi ya 20
tafuta hela kijana ndio maana sehemu unazonitajia zote ziko kwenye njia za daladala
Sawa basi ngoja nitafute hela kwanza.
 
Sawa basi ngoja nitafute hela kwanza.
🤣🤣
1. esami
2. leopard tours
3. palace hotel
4. naura springs
5. immigration
6. papu house
7. ngorongoro
8.ppf aicc hospital
9. nssf kanisa
10.fiona tower
hapo nimekutajia 10 yote hayo yanagorofa zaidi ya 10 ukintajia tu mji mmoja nje ya dar tofauti na Arusha wenye 10+ floors hata 10 tu nakuoongezea nyingine 10🤣🤣
watu kutwa kushinda vijiweni kulinganisha Arusha na utopolo wenu
 
[emoji3][emoji3] we jamaa koro sana mbona unachuki zisizo na faida, tajiri wa jamii forum unatumia simu gani mkuu..... kauli zako zinaonesha ni jinsi gani ulivyo mbaguzi thread inahusu changamoto za miundombinu ya arusha wewe unarukia kushindanisha na kanda ya ziwa hautoshinda [emoji28]
 
🤣🤣🤣
kanda ya ziwa ilikuja baada ya mdau mmoja hapa kuniambia tumecheleweshewa maendeleo kisa upinzani
kwahio nkataka anielezee tu maendeleo yaliyoko kwenye mikoa ya ccm na sikutaja kanda yenu pendwa tu nilitaja na lindi na mtwara🤣🤣
mi mwanza napapenda sana mkuu vile vibiriti tu kule mlimani ndo vinanichoshaga
 
Urefu wa magorofa ndio kitambusho cha uzuri na maendeleo pole sana.. mji unagorofa za floors 10+ halafu unakosa stand na soko [emoji1787][emoji1787]
 
Aah pale soko kuu pananuka mikojo balaa maana makondakta wa Atown ni walevi balaa na muda wote wanalewa uku wanapiga debe
[emoji23][emoji23] kwahiyo wakipata pesa za safari mbili 3 wanaanza kulewa na kumwaga kojo hovyo hovyo au!
 
Urefu wa magorofa ndio kitambusho cha uzuri na maendeleo pole sana.. mji unagorofa za floors 10+ halafu unakosa stand na soko [emoji1787][emoji1787]
ghorofa manake uwekezaji braza hamna mwekezaji anaweza jenga jengo la ghorofa 15 au 18 alafu asiplan faida

ndio maana ikipigwa hata dar picha ya juu unaona magorofa tu hawakuoneshi manzese na tandale

sasa mji bila maghorofa si bariadi tu sasa🤣🤣
 
Ebu tutumie hio picha tuyaone hayo magorofa

Kanda ya ziwa kuna mirandi mingi sana inayowanufaisha wanachi moja kwa moja kama stand na masoko vituo vya daladala ndio usiseme
 
Ebu tutumie hio picha tuyaone hayo magorofa

Kanda ya ziwa kuna mirandi mingi sana inayowanufaisha wanachi moja kwa moja kama stand na masoko vituo vya daladala ndio usiseme
sasa mtu unaitwa cha asubuhi kweli🤣🤣

basi hapo utakua huamini kama nje ya dar kuna mji uko developed kama arusha

ndio maana kanda ya ziwa ni kitovu cha umaskini afrika kwa sababu mna uvivu wa asili 😎

haya nenda kagoogle majengo 50 marefu Tanzania utaona yote yaliyoko nje ya dar ni Arusha tu



 
sasa mtu unaitwa cha asubuhi kweli[emoji1787][emoji1787]

ndio maana kanda ya ziwa ni kitovu cha umaskini afrika
Hauna hoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mji stand ya enzi za ujima soko ndio hivyo mikojo mingi

Angalia mafukara wakijengewa masoko,airport na stand [emoji3][emoji3]
 

Attachments

  • Screenshot_20211122-144704.jpg
    19.5 KB · Views: 2
Huu uzi ni moja ya nyuzi chache sana zilizoandika ukweli mpana na mchungu kuhusu Arusha.
Hili jiji lina jina kubwa, ila kwa bahati mbaya viongozi wameleweshwa na sifa na ukubwa wa jina wakaacha kushughulikia matatizo ya jiji.

Ukiachilia rangi inayopakwa na mdazi (of course mwamba ngozi huvutia kwake.
.ana haki), mengine yote yaliyozungumzwa ni ukweli kabisa. Mfano ujenzi maeneo mengi ya hili jiji ni holela kabisa. Maeneo mapya kama Barabara ya Afrika Mashariki nilitegemea yajengwe kwa mpangilio lakini ajabu panajengwa kama Ngarenaro huku uongozi ukiwa kimya.

Viongozi waamke ili hili jiji liendane na sifa zilizoko mitandaoni.
 
Nyamongoro modern bus Stand [emoji1787][emoji1787] kama nakuona unavyobinya ujenzi upo zaidi ya 79%
 
[emoji1787][emoji1787] tatzo jamaa anachuki na kanda ya ziwa hakupaswa kuiingiza kanda ya ziwa kwenye hii thread
 
Nyamongoro modern bus Stand [emoji1787][emoji1787] kama nakuona unavyobinya ujenzi upo zaidi ya 79%View attachment 2019800
tatizo inajengwa stendi alafu iko katikati ya umaskini sasa
ngoja nikuambie boss sifa ya mji wowote ulioendelea ni private sector investments
sio hiyo miradi mliyopewa kwa huruma za serikali kwa sababu in time kila mkoa utakua na stendi
yani ni kichekesho kwamba eti tunamaendeleo kwa sababu tuna stendi 🤣🤣 kwani aliyekuambia Arusha haijengwi nani tena mbili kwa mpigo tutakua na stendi ya kisasa East Africa
 
wewe unaelewa unachoongea 👏

shida kubwa ya Arusha imekua ni poor governance

lakini bado haiondoi mazuri mengi ya Arusha

sekta binafsi kwa Arusha wanajitajidi sana na nje ya dar hamna mji unaweza kusogeza hata pua kwa Arusha

na ndio waliojenga shule nyingi, hosptali na hata mahoteli
 
Nyegez modern bus terminal ujenzi zaid ya 67% na hizi stand zote zimo ndani ya jiji la mwanza [emoji38][emoji38]
 

Attachments

  • 2-1.JPG
    364.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…