Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Ni kweli baadhi maeneo ni masafi lakini masoko ya arusha ni kama mazizi ya kondoo
Sahihi.
1. Soko la Kilombero chafu sana
2. Samunge hairidhishi.
Kwa ujumla Arusha mjini ni chafu kabisa.
Mpangilio wa mjini kati nako sio poa.
Arusha nzuri iko pembeni mwa mji
 
V
Vile vigari mnabananisha viti kama mnapakia watu wasio na miguu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
V
Vile vigari mnabananisha viti kama mnapakia watu wasio na miguu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Hata sio suti, ni uniforms za kawaida tu.
Halafu kwa nini makondakta wa Dar huwa wanavaa suruali mbili mbili kama wamechanganyikiwa??
Ile ya juu inakuaga chafu(imevaliwa na watu wengi) sana hivyo hawataki igusane na ngozi.

Maana kondakta akiacha kazi, jezi inabaki, deiwaka nae akipanda anavaa hiyo hiyo, akishuka inabaki ikimsubiri atakaepokea kijiti.
 
Yani pamoja na pesa zote wanazokusanya wanashindwa kujinunulia hata suruali moja ya elfu saba?!, hiyo ni kazi au utumwa!
 
Wewe tembea Meru uone wanavyojipenda hata kuliko town
Mkuu sijakupinga kama hawajipendi, lahasha wanajipenda sana na nipo huku Meru yapata miaka 9 sasa nauzoefu na ninachokwambia kwa baadhi ya maeneo, mwenyewe natupia pamba fresh kabisa na unyunyu juu😁
 
Sijakupinga mkuu, mwenyewe naelewa sana na napiga pamba sana na unyunyu juu ila kuna baadhi ya maeneo hio hali ipo😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…