Jiji la Arusha lina watu nadhifu na wasafi kuliko majiji yote

Uzuri ni kwamba kila mtu ana tafsiri yake ya unadifu.

 
SAsa huku si vijinini kabisa?
Urio, Neema za Munfu wanachana mbuga hatari🀣🀣🀣
Daah! Hizo bus ni ngumu sana asee, na vile huwa zinachana mbuga zenyewe tu hakuna bus jingine kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa wenzako wanaopanda Uber unawalinganisha na wapanda hiace,,Utafiti wako Bado una mapungufu
 
K
Kabisa, shida n elimu ya kukariri
 
Dah mkuu huoni aibu kutaja hiace kama usafiri wa jiji?naona na Dodoma nao vimejaa igeni mbeya kuna Rosa kama Town bus na coaster kwenda wilayani sema tu yule bibi kaharibu na vibajaj vyake.
 
Mtoaji wa hii thread ulipita tu Arusha mara moja, ujakutana na raia zinakaa huko wanaita ilkidin'ga zinavyotoa harufu za kibeberu na ugoro
 
Hunanuelewa wa mambo so wanajeshi wa israel u nchi za kiarabu wanava hariri kwa vle ni jua u joto so ht da rmadereva hizo ni uniform unatakiwa ukubaline nalo
 
Hali ya hewa ya Arusha ni rafiki sana kwa aina zote za nguo. Sasa hili joto la Dar watu wataacha kuwa wachafu? Hata ukitaka nguo nzuri, viatu, makoti Arusha ndio kila kitu, kila ninapoenda Arusha lazima nirudi na mikato
Arusha is overrated..
Watu wa huko hata baridi wanahisi kwa TZ nzima ndio panaongoza.
 
Watu wa arusha washamba sana visuruali vimebana maviatu makubwa na lishati kama kanzu halafu wanaongea kama anaikatikia na siku hizi nasikia me wanagongwa sana na wazungu
 

Hao kwenye picha ni wana-Arusha katika picha ya miaka ya 1990s. Ni mkoa ambao watu wake wana exposure miaka mingi na ni wasafi true, pamoja na kilimanjaro, utalii umechangia pakubwa kwa sababu ya interaction na watu wa mambele huko. Hata video za kwanza za uimbaji Tanzania zenye ubora zilianza kurekodiwa Arusha kwenye studio za Habari Maalumu. So nakubaliana na wewe. Kasoro tu ni vile vidaladala vipanya, vinachafua mji wekeni mabasi ya daladala yenye hadhi sawa na jiji la utalii, watalii wanaogopa kupanda mle.
 
Watu wa arusha washamba sana visuruali vimebana maviatu makubwa na lishati kama kanzu halafu wanaongea kama anaikatikia na siku hizi nasikia me wanagongwa sana na wazungu
We dada acha chuki na uongo usio na faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…