Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Ninaishi Mwanza town na familia yangu toka nimezaliwa,na ninafanya kazi Njiro Arusha toka mwaka 2009...Mwanza ni mji mkubwa,mzuri,wenye watu wengi na kuufanya kua na pesa japo huwezi kuona mbwembwe za watu wake wakijivunia pesa walizonazo,miji mingi duniani iliyo mwambao wa maji kwa maana ya maziwa na bahari hua ni miji mizuri na ya kibiashara.najua wazi Arusha ina uzuri wake wa hali ya hewa lakini haiwezi kufikia sifa ya Mwanza,Mwanza kunahudumia mikoa karibu yote ya kanda ya ziwa na kuifanya kua ni yenye maendeleo sana tu.ni mji umepanuka sana,mji ukiwa na watu wengi ni moja ya sifa na sababu za kukua kiuchumi.usicheze na watu wanaofanya kazi kwa bidii lakini hawatumii pesa ovyo ovyo wala kujisifu sifu kwenye mabaa na sehemu za starehe bila faida,tatizo hilo lipo Arusha pekee..mtu ana milion mia moja tu lakini anatisha watu ovyo na bastola na majisifu yasiyo na sababu.jiji la Mwanza kuna Msukuma na Mkurya wana pesa kama mchanga na hutakaa ukawasikia mitaani kwa mambo ya kijinga
Over

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Huwezi kulinganisha Mwanza na Arusha, Mwanza imekuwa jiji halafu after ten years Arusha ndiyo ikawa jiji na kuna kipindi ilinyang'anywa hadhi ya jiji ikarudishwa kuwa manispaa baada ya kurekebisha mapungufu ndiyo ikarudishwa kuwa jiji.
 
Baba umetisha lakini kwa wasioelewa watatokwa mipovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arusha bado sana kwa mwanza alafu arusha town ni ndogo sana pakutembea masaa 5-7 unakua umeumaliza mji wote [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Usifananishe Arusha ni vitu vya kijinga wewe. Iyo mwanza fananisha na vimikoa vya uko kusini kama mbeya rukwa na vyinginevyo. Ila sio Arusha kbs! Mwanza kwa Arusha bdo sana. Wilaya moja tu ya Arusha ni mji mzma wa mwanza ..[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msukuma yupi unamuongelea asie na majigambo! Hebu anza na kufananisha Mkulu na Lowassa kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…