Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,189
Naona Am mall nayo si haba au hujaiona iko close na Tanapa, iko vyema sana, siijui ya Mwanza nabaki njia panda ku conclude.Arusha inasatelite city mbili
Mwanza Hamna Ata moja....
Arusha hotels za zenye wadhifa kibao
Mwanza hakuna
Mall mwanza yao kubwa kuliko ya Arusha
Mapato ya Jiji mwanza wako juu ya Arusha
Kwa wastani Arusha ni Moja ya mikoa tajiri Mwanza ni Moja ya mikoa masikini. ..
Arusha inaizidi Mwanza kwa ujumla
haviwezi kufanana ni kweli ila kumbuka kabla arusha halijawa jiji mwanza lilikuwa jiji miaka mingi iliyopitaMwz na Arusha kuifananisha ni makosa maana kuna tofauti kubwa mno kwa mfano Arusha ni mji wa kitalii unaitwa geneva ya Africa mpaka hapo utalinganishaje na mza? Mza kwa takwim za hivi karibuni toka nbs ni kati ya mikoa maskini, mza ina hotel za maana chache mnoo, arusha zipo nyingi, ahhhh jamani mza na arusha haifanani hata!!!!
mbuga ya wanyama kubwa na yenye kutambulika ya serengeti 3/4 ipo mkoa wa mara na 1/4 nyingine ipo mkoa wa simiyu sasa hapo unaposema serengeti ipo arusha umetoa wapi au umeandika kufurahisha JF.Arusha ni mkoa wa tatu kwa utajiri baada ya dar na kilimanjaro.
Arusha ina mbuga za wanyama zenye kuitambulisha tanzania(rerengeti,ngorongoro na iko karibu na manyara)
Hali ya hewa ya arusha ni ya ubaridi na jua mara chache inayosababisha kutokuwepo na mvumbi kabisa.
Arusha ndo jiji linaloongoza kuwa na usafi tanzania.
Ndo jiji linaloongoza kuwa na shule ya serikali zinazofanya vizur kwa form six(Ilboru ,kisimiri).
Ni jiji la pili lenye hoteli za kifahari baada ya dar
Ni jiji linaloongoza kuwa na vitu ghali tanzania.
Arusha kuna kiwanja kidogo kimoja cha ndege na ipo karibu sana na uwanja wa kimataifa wa KIA.
Arusha ndo kiungo cha mauzo madini ya tanzanite one(yanayotoka mereran karibu sana na arusha japo ipo manyara)
Arusha ina vyuo japo si vingi.(ARU,TUMAIN,MANDELA{arusha technical kwa ufundi})
kwa haya sijaona sababu ya kufananisha mwanza kisa ina watu weng na arusha kamwe mtalii hawez kuja kutembelea mwanza akaacha arusha
Toa serengeti, weka Arusha national park.mbuga ya wanyama kubwa na yenye kutambulika ya serengeti 3/4 ipo mkoa wa mara na 1/4 nyingine ipo mkoa wa simiyu sasa hapo unaposema serengeti ipo arusha umetoa wapi au umeandika kufurahisha JF.
Arusha ni mkoa wa tatu kwa utajiri baada ya dar na kilimanjaro.heheheh mi hapa tu umeniacha hoi
Hili neno Geneva ya afrika mnatumia sana kuficha madhaifu yenu, sijui hata nani alilitunga, kwa hiyo kuna Geneva ya america pia? Antarctica je? Poor arusha kimji kidogo hata ukifananisha na jiji la mbeyaHuwezi kumfananisha CR7 na mrisho ngassa wa TZ.
Umetukosea sana narudia tena umetukosea sana kufananisha ARUSHA geniva ya africa na ushambani mwanza.
Mwanza tafuta sawa yake wapambanishe labda na huko mbeya.
Ila umetukosea sana kwa kweli
Tuombe radhi tafadhali
Hizo takwimu umezitoa kwa mromboo nn? Hizo takataka zenu arusha na Kilimanjaro hazipo top 5 ya mikoa tajir, nyie mna utajir wa kula nyama choma na bia tuArusha ni mkoa wa tatu kwa utajiri baada ya dar na kilimanjaro.
Arusha ina mbuga za wanyama zenye kuitambulisha tanzania(rerengeti,ngorongoro na iko karibu na manyara)
Hali ya hewa ya arusha ni ya ubaridi na jua mara chache inayosababisha kutokuwepo na mvumbi kabisa.
Arusha ndo jiji linaloongoza kuwa na usafi tanzania.
Ndo jiji linaloongoza kuwa na shule ya serikali zinazofanya vizur kwa form six(Ilboru ,kisimiri).
Ni jiji la pili lenye hoteli za kifahari baada ya dar
Ni jiji linaloongoza kuwa na vitu ghali tanzania.
Arusha kuna kiwanja kidogo kimoja cha ndege na ipo karibu sana na uwanja wa kimataifa wa KIA.
Arusha ndo kiungo cha mauzo madini ya tanzanite one(yanayotoka mereran karibu sana na arusha japo ipo manyara)
Arusha ina vyuo japo si vingi.(ARU,TUMAIN,MANDELA{arusha technical kwa ufundi})
kwa haya sijaona sababu ya kufananisha mwanza kisa ina watu weng na arusha kamwe mtalii hawez kuja kutembelea mwanza akaacha arusha
Mwanza mnakula mapanki ya Sato Arusha tunakula ribsArusha Kuna Sato Au Sangara?? Acheni Upuuuuzi Kujua Ya Kwenu Bangi Tu Na Mambo Ya Kihuni Kihuni.
kumbe igogo ni pazuri ee?Licha ya Tanzania kuongoza Afrika Mashariki kwa wageni wanaotalii mbugani, bado Utalii wa Ndani, umeendelea kuwa chini kulinganisha na Nchi nyingine kama Kenya na hivyo kuendelea kudumaaa kwa Sekta ya Usafirishaji na ya Huduma hasa Mahoteli katika maeneo yaliyo mbali na Kanda Kuu za Kiutalii nchini za Northern Tourism Circuit - Arusha, Moshi, Mto wa Mbu na Karatu, pamoja na Visiwa vya Zanzibar. Tanzania ina utajiri mkubwa wa maliasili na vivutio vingi vya kitalii wa ndani, vinavyoweza kutangazwa kwa njia ya kushindanisha ubora wa Kanda mbalimbali nchini.
Jiji la Mwanza ni epicenter ya Kanda ya Ziwa inayoundwa na Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara, Kagera, Simiyu na Geita. Lina influence pia kwa Mikoa ya Kigoma na Tabora.
Jiji la Arusha ni epicenter ya Kanda ya Kaskazini inayoundwa na Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga. Lina influence pia kwa Singida (na Dodoma kipindi cha nyuma).
Tafadhari weka bandiko lako lenye picha ama data ili kuweza kujenga vyema hoja iliyopo mezani. Hivyo, utakuwa vyema ikiweka suala lolote, lazima lijibiwe na Kanda nyingine ili kuleta ulinganishi.
Vigezo vya kushindanisha Majiji haya vipo hapo chini.
View attachment 806199
And that is the truthWho said so
Kwa hiyo ukawa unapishana na watu wakielekea kunya ziwani...?! Au na wewe ulikuwa ukielekea ziwani...?!
Hebu assume mtu anakaa Bugarika au hata Mahina anabanwa inawezekanaje achukue usafiri hadi ziwani...?! Hata vile vyoo vya stand anapita...
Huna lolote...usijione mjanja wakati unagongea mpaka sodaMi nilie huku paris niseme nn. Watu mko msitun mnatambishiana, mi naona wote mpo bush. Mwanza mjini ni mapori makubwa ya kutisha wakat arusha ni vichaka mwanzo mwisho.
Wasukuma bhana, yani ushamba wao wanaleta mpaka hukiu jf?Usifananishe Arusha ni vitu vya kijinga wewe. Iyo mwanza fananisha na vimikoa vya uko kusini kama mbeya rukwa na vyinginevyo. Ila sio Arusha kbs! Mwanza kwa Arusha bdo sana. Wilaya moja tu ya Arusha ni mji mzma wa mwanza ..[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app