ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
wewe hizo takwimu ninazo na hazisomeki hivyo kwa upande wa jiji la mwanza bali mkoa mzima wa mwanza kipindi hicho geita ikiwa sehemu ya mwanza na kwa Arusha hizo ni takwimu za jijiHiyo ndo sensa ya mwaka 2012 siyo porojo ingia google
Mwanza inajiweza bila kutegemea mabeberu [emoji1787]Mnafanya makosa kufananisha jiji la kimataifa na kitalii na ka-mji ka wachunga ngβombe na wavuvi.
Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2acha porojo hao mil.2 umewatoa wapi,weka sensa ya 2012 hapa sio kuleta hisia binafsi..alafu ujue kutofautisha watu wa mkoa mzima na na watu wa jiji
ππ naona hajarudi itakuwa kaenda ku-googleMwenzio umemuacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haelewi
Anza kusoma page ya 391Mkuu umevuta BANGI au GANJA?
Nimeshakutumia attachment kaisome acha kubisha mambo ambayo yameshaandikiwa na reportUnajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
Kasome vizuri halafu urudi tenawewe hizo takwimu ninazo na hazisomeki hivyo kwa upande wa jiji la mwanza bali mkoa mzima wa mwanza kipindi hicho geita ikiwa sehemu ya mwanza na kwa Arusha hizo ni takwimu za jiji
Nimekutumia attachment kasome kuanzia page ya 391 report ya CAG acha kubisha vitu ambavyo viko wazi utaonekana mjinga na tuwe tunapenda kujisomea hizi report zinazotolewa ili tusiwe Kama wanywa kahawaKasome vizuri halafu urudi tena
Hahaha! Tatizo umande kaka[emoji3][emoji3][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1] naona hajarudi itakuwa kaenda ku-google
Arusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Hapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2
Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini ππMimi naamini sio kwa hisia bali kwa facts kwa kuwa Arusha ni mji wa Viwanda na utalii huko mwanza sijui jiji lina sifa gani zaidi ya dagaa na sangara
Ahsante mkuu japo sijawa mbali sanaHapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.
Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
Angalia revenue ndo itakuokupa picha halisi, Arusha ina watu wachache Zaid ya mwanza Ila Ina shughuli nyingi za kibiashara kuliko mwanza, ndo maana imeipita mwanza kwenye revenueHapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.
Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
Ila kwa revenue Arusha imeipita mwanzaWewe jamaa lake zone walikufanyia nini ππ
Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi
2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),
3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar
Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
Huyo jamaa atakuwa ni wale jamaa wanaojiita "MACHALII WA R" wao wanakwambiaga Arusha hakuna mji hapa Afrika unaoukaribia kwa uzuri,na hii ni baada ya kuvuta GANJA na kunywa BANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini [emoji23][emoji23]
Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi
2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),
3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar
Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
ππJiji la Mwanza linaundwa na Manispaa mbili
1.Ilemela
2.Nyamagana
Arusha inaundwa na Manispaa ngapi?
Mwanza inaweza kusavaivu bila Utalii, Arusha utalii ukisheki nayo inasheki!!
Acheni kuifananisha Mwanza