Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
Zina vary, acha uzwazwa mtu akikupita kwa mapato amekuzidi shughuli za kiuchumi, kwa current stand Arusha imeipita mwanza kwa mapatoSasa revenue collection si zina vary kipindi na kipindi nshakueleza ila una kichwa kigumu 🤣 🤣🤣.Ni kama sahivi serikali haitegemei revenue kubwa kutoka Arusha kutokana na kudorora kwa utalii na hata projection za ukusanyaji mtawekewa ndogo.Halafu tambua revenue za kipindi hiki zinatofautiana na kipindi kile hivyo kuna muda utaongoza na mwingine utaongozwa.Kwan Dom upande wa revenue si kakaa juu ya Mwanza mara nyingi tu.
Ila tambua miji au majiji makubwa yanapimwa kwa GDP.Hiyo haina mambo ya kusheki kusheki.Tunalinganisha Johannesburg na Lagos wewe unaleta mambo ya revenue si utakuwa chizi weee🤣🤣🤣🤣🤣
Hao ni wagumu kuelewa mkuu,ni kama unatwanga maji kwenye kinu[emoji1787][emoji1787]Sasa revenue collection si zina vary kipindi na kipindi nshakueleza ila una kichwa kigumu [emoji1787] [emoji1787][emoji1787].Ni kama sahivi serikali haitegemei revenue kubwa kutoka Arusha kutokana na kudorora kwa utalii na hata projection za ukusanyaji mtawekewa ndogo.Halafu tambua revenue za kipindi hiki zinatofautiana na kipindi kile hivyo kuna muda utaongoza na mwingine utaongozwa.Kwan Dom upande wa revenue si kakaa juu ya Mwanza mara nyingi tu.
Ila tambua miji au majiji makubwa yanapimwa kwa GDP.Hiyo haina mambo ya kusheki kusheki.Tunalinganisha Johannesburg na Lagos wewe unaleta mambo ya revenue si utakuwa chizi weee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anko umeacha kutumia takwimu Sasa unatumia nguvu ya ubishi hongera sanaArusha kinachoizidi Mwanza labda ni:-
1.UVUTAJI WA BANGE
2.BARIDI
3.MA**YA WA KIMBULU
4.MENO YA CHOKOLETI
5.VUMBI
6.VIJANA KUONEKANA KAMA WAZEE
7.UJUAJI
8.UBINAFSI
9.UBISHI
10.KUFUGA RASTA ILI WAOLEWE NA WAZUNGU
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Takwimu zinasemaje usiseme tu wabishi penda kuwa professional, nimekutumia takwimu hutaki kuziamini asa tukusaidiajeHao ni wagumu kuelewa mkuu,ni kama unatwanga maji kwenye kinu[emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Tulia hivyo hivyo dawa ipenye kunako mundaAnko umeacha kutumia takwimu Sasa unatumia nguvu ya ubishi hongera sana
Huyu hata tukiwa tunalinganisha Mwanza na miji ya Kenya huwa anatuponda hivyo asikupe shida!! Mi nampigaga za USO tu haniqoute tena😄😄Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini 😂😂
Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi
2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),
3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar
Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
Piga picha tena hatujaona maneno madogo Sana
Endelea kuamin story za vijiweni, Ila fahamu takwimu hazidanganyi
Tunaangalia GDP mkuuEndelea kuamin story za vijiweni, Ila fahamu takwimu hazidanganyi
Report ya CAG umesomaUkweli ni kwamba Mwanza ni mji baada ya Dar es Salaam,mimi naishi Mwanza na ninafanya kazi Arusha, hii miji miwili inataka kama kufanana lakini Mwanza inaendesha mambo makubwa kuliko Arusha kuanzia uchumi wa watu na mengineyo..pia ina watu wengi zaidi kuliko Arusha,idadi tu ya watu ni tosha kuifanya ikue kiuchumi,nowdays Arusha imekosa watalii na imebaki kama kijiji cha ujamaa,ni vile tu watu hupenda kuvutia kwao lakini Mwanza ni zaidi ya Arusha,hata watu wenye pesa Mwanza ni matajiri wakubwa sana lakini kamwe huwezi kuwasikia na mambo ya hovyo mitaani,Hapa Arusha kijana ana milion 100 tu ni kero mitaani,kutwa kucha na Difender barabarani au Subaru na miungurumo mikibwa,ile ni ushamba japo wao wanaona ni kama ujanja lakini ni ushamba na akili za kimasikini. Mwanza ina jumla ya wilaya nne zilizoingia zote mjini.. Misungwi, Magu, Nyamagana na Ilemela, ni mji mkubwa wa madini,uvuvi na kilimo pia biashara zingine maana Mwanza inahudumia kanda ya ziwa yote ukijumuisha Tabora,Shinyanga,Musoma,Simiyu na Kagera japo Kagera huchanganya Mwanza na Kampala kibiashara lakini wote hao center yao ni RockCity.
Tchao
Kwanza mapato yenyewe yako wapi? Kopi hiyo text upaste hapa tuone wote.Hakuna mwenye muda wa kudownload PDF ya mb sijui ngapi aanze kutafuta page ya 300 ili mbishane tu.Copy&paste hiyo text hapa,fanya hivyo!!Zina vary, acha uzwazwa mtu akikupita kwa mapato amekuzidi shughuli za kiuchumi, kwa current stand Arusha imeipita mwanza kwa mapato
UBARIKIWE MKUUUkweli ni kwamba Mwanza ni mji baada ya Dar es Salaam,mimi naishi Mwanza na ninafanya kazi Arusha, hii miji miwili inataka kama kufanana lakini Mwanza inaendesha mambo makubwa kuliko Arusha kuanzia uchumi wa watu na mengineyo..pia ina watu wengi zaidi kuliko Arusha,idadi tu ya watu ni tosha kuifanya ikue kiuchumi,nowdays Arusha imekosa watalii na imebaki kama kijiji cha ujamaa,ni vile tu watu hupenda kuvutia kwao lakini Mwanza ni zaidi ya Arusha,hata watu wenye pesa Mwanza ni matajiri wakubwa sana lakini kamwe huwezi kuwasikia na mambo ya hovyo mitaani,Hapa Arusha kijana ana milion 100 tu ni kero mitaani,kutwa kucha na Difender barabarani au Subaru na miungurumo mikubwa,ile ni ushamba japo wao wanaona ni kama ujanja lakini ni ushamba na akili za kimasikini. Mwanza ina jumla ya wilaya nne zilizoingia zote mjini.. Misungwi, Magu, Nyamagana na Ilemela, ni mji mkubwa wa madini,uvuvi na kilimo pia biashara zingine maana Mwanza inahudumia kanda ya ziwa yote ukijumuisha Tabora,Shinyanga,Musoma,Simiyu na Kagera japo Kagera huchanganya Mwanza na Kampala kibiashara lakini wote hao center yao ni RockCity.
Tchao
Mkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
Leta Basi report inaonyesha mwanza imeipita Arusha kwa GDP kwenye source ya kuaminika
Paste hicho kipande chenye mapato hapaReport ya CAG umesoma
Ripoti ya CAG mara zote inaonyesha ubadhirifu,haionyeshi haya tunayobishana hapa,jenga hoja siyo blah blahReport ya CAG umesoma
Acha uvivu kasomePaste hicho kipande chenye mapato hapa
Report imeonyesha pia mapato acha ligi za kitoto na acha uvivu penda kuzisoma hizi report zinazotolewa na mamlaka husika, tatizo letu sisi ni wavivu sana kusomaRipoti ya CAG mara zote inaonyesha ubadhirifu,haionyeshi haya tunayobishana hapa,jenga hoja siyo blah blah
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Weka hiyo report hapa acha blah blahReport imeonyesha pia mapato acha ligi za kitoto na acha uvivu penda kuzisoma hizi report zinazotolewa na mamlaka husika, tatizo letu sisi ni wavivu sana kusoma