Hapana boss hiyo ilikuwa ni region ambapo kwa mwaka huu imefika kama 4M hivi.
Ila za majiji ni Dar ni 6M,...Mwanza city ni 1.2M...Zanzibar City 7K.
Arusha city ni 4K.
Nimeambatanisha link ya Mwanza City hapa chini.Pia inakuonyesha projections hadi za 2050.
Majiji mengine teremka chini upande wa kushoto utayaona.
Mwanza, Tanzania Metro Area Population 1950-2020
Kwahiyo unataka kusema Dodoma iliyoongoza kwa mapato kipindi fulani inaizidi Mwanza au Dar es salaam kwa uchumi?Report imeonyesha pia mapato acha ligi za kitoto na acha uvivu penda kuzisoma hizi report zinazotolewa na mamlaka husika, tatizo letu sisi ni wavivu sana kusoma
Hii ni Mara ya pili ntakutumia na hii inaonyesha jinsi gani ulivyokua unprofessional
Acha kuweka mkitabu wote huo,quote sehemu ya Mwanza na Arusha wewe mbona mbishi?Hii ni Mara ya pili ntakutumia na hii inaonyesha jinsi gani ulivyokua unprofessional
Wewe jamaa lake zone walikufanyia nini [emoji23][emoji23]
Mwanza ipo diversified maana kuna
1. uvuvi
2.usafirishaji (ardhini, majini na anga),
3. Media industry kumbuka Mwanza ina media industry kubwa next to Dar
Hivyo ni vichache tu na fact mwanza ina manispaa mbili na Arusha ipo moja ni lazma ikuambie ni ipi itakuwa mbele kiuchumi
Siumesema tunaongelea majiji au umeshabadilisha gia angani, kwa halmashauri ya jiji ndio dodoma imewazidi kwa sababu imewazidi kimapato,Kwahiyo unataka kusema Dodoma iliyoongoza kwa mapato kipindi fulani inaizidi Mwanza au Dar es salaam kwa uchumi?
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kasome page ya 380 na kuendelea Ila nimekuja gundua wewe ni mjingaAcha kuweka mkitabu wote huo,quote sehemu ya Mwanza na Arusha wewe mbona mbishi?
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
soma hizi takwimu hapa chini na wewe weka source ya takwimu zako zinazoonesha jiji la mwanza kuwa na wakaazi mil.2Hiyo ndo sensa ya mwaka 2012 siyo porojo ingia google
Huyo jamaa atakuwa ni wale jamaa wanaojiita "MACHALII WA R" wao wanakwambiaga Arusha hakuna mji hapa Afrika unaoukaribia kwa uzuri,na hii ni baada ya kuvuta GANJA na kunywa BANGE [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hvi watu wa Arusha ni nini ambacho huwa kinawatoa ufahamu?,ni harufu ya Bange au Baridi?,yaani unashindwa kuelwa ya kwamba uwanja wa ndege wa Mwanza ni International Airport?,yes of kozi Sahara ni among of the bigest media in this country,hilo nalo unabisha?2. Usafiri upi? Airstrip?
3. Media zipi? Sahara group? (irrelevant media)
Ni mjinga sana ogopa mtu anabishana na takwimu mpuuziesoma hizi takwimu hapa chini na wewe weka source ya takwimu zako zinazoonesha jiji la mwanza kuwa na wakaazi mil.2
Soma hapo nilipo bordLeta Basi report inaonyesha mwanza imeipita Arusha kwa GDP kwenye source ya kuaminika
Kiwanda cha bananaMkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?
Hata ukiingia kwenye taarifa za Tanzania Investment Centre unakuta miradi mingi ya kiuwekezaji sekta binafsi nje ya Dar ni Arusha sasa sijui wenzetu wa kanda pendwa wanapata wapi habari zaoA to Z unajua inawafanya kazi wangapi? Hakuna Kiwanda kinakarinia hata robo ya A to Z
Report ya CAG umesoma
Naomba official report in professional way hatuendagi hivyo kakaSoma hapo nilipo bord
Mwanza. Mwanza has launched its regional investment guide as it puts itself on the right path to grow its contribution to Tanzania’s gross domestic product (GDP) by the year 2025.
The Mwanza Regional Investment Guide is a brainchild of the region’s authorities in partnership with the United Nations Development Propartnershipgram (UNDP) and the economic and social research foundation (ESRF).
It seeks to lead Mwanza on the implementation of development projects in major economic sectors including, agriculture, fishing, mining, manufacturing industries and livestock, according to Regional Commissioner, Mr John Mongella.
Currently, Mwanza contributes about Sh7.4 trillion to Tanzania’s Sh103 trillion GDP. It is second from Dar es Salaam.
“Our goal is to raise Mwanza’s contribution to GDP to Sh10 trillion per annum come the year 2025,” he said.
To achieve the goal, in line with the launched regional investment guide, there shall be established a special team from government institutions which will be trusted with the powers of dealing with investment licenses and certificates so as to cut beauracracy.
Acha bange wewe!!Ni mjinga sana ogopa mtu anabishana na takwimu mpuuzie
Kiwanda cha cha AtoZ kimeajiri wafanyakazi rasmi zaidi ya 8,000, kuna sunflag,lodhia steel,trishala rolling mills,Tanzania breweries,tanzania phamacetical,fibreboards africa ltd,mount meru millers,bansal steels,kuna kiwanda cha gypsum cha lodhia pia,pepsi,shine&lovely,viwanda kadhaa vya plastics products,halais pro chemie,chemi and cotex (Emco) hanspaul auto mech,banana wine, mega beverages(K vant) sunkist,kiltex, na vingine vingi vidogo na vingine ambavyo kwa sasa havizalishi,Arusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
Nawewe ni mjinga mwingine kwa hiyo tukuamini wewe tusimwamini CAG hivi unaakili kweliInisaidie nini..tafuta uhalisia kwa macho yako kwa kuizungukia hiyo miji yote,CAG report ya nini..tena ninyi mnaokujaga na swaga za sijui mlisoma vyuo gani huko ndo mmeifanya hii Africa kua masikini kweli kweli
La takwimu nishalitolea ufafanuzi boss...Mwanza city ni 1.2M...Arusha city ni 4K..Source UN nimetoa hadi link.soma hizi takwimu hapa chini na wewe weka source ya takwimu zako zinazoonesha jiji la mwanza kuwa na wakaazi mil.2