Arusha kuna redio kadhaa pia,Sunrise,Triple A,arusha one fm,sauti ya injili,radio safina,kuna sauti ya wakulima(ors)tanzanite radio na nyingine nimezisahau!! Ila tv station hakuna aisee,kwa arusha kila kitu kitu kipo under one roof!!ndiyo maana wana arusha huwaambii kitu na arusha yao, na wanajua ku spend kiukweli,kijana wa arusha ukimpa laki saa moja jioni,ukaja kumuuliza saa moja kesho yake asubuhi ana ngapi,utakuwa unamuonea bure!! Kama ana nyingi ni 10,000/ mwanza unaweza ukampa mtu sh 10,000,baada ya wiki ukamkuta badi ana chenji sh 6,000/ huwa nayatamani maisha ya mwanza niyaishi arusha ila nimeshindwa kabisa.
OkOf course yes...
Yeah hata product nyingi kwenye address zao wameandika Nyakato industrial area... Ni kweli pamechangamka sana kiviwanda.Yeah,,hi industrial area imechangamka
Four per day!Unasema usafiri wa anga Mwanza Ipo nyuma what's the hell..! Route inayoongoza kwa wasafiri wa anga kwa mdani ni Dar-Mwanza, Mwanza-Dar.
Kila siku kuna flight zaidi ya mbili
Ukiondoa mahaba bado una akili ya kujua ni nini naongelea brother ila wewe ikitajwa lake zone huwa unaingia katika war.. i rest my case, sijibu hoja ila nakukabidhi ushindi. Hope upo satisfied 😂😂sahara media imejifia,ukishakuwa tawi la ccm kama channel ten sijui nanai atakusikiliza..Sijasema kia ipo arusha ila inasevu arusha zaidi kuliko kwingineko.
Huo uwanja wa mwanza hata ukikamilika wengi wa watu huko hawana pesa za kupanda ndege tofauti na Arusha iliyojaa watalii na wageni wa kila aina.Ishu ya reli ni suala la mda tuu na huku reli ya sgr itataoka tanga arusha hadi musoma ko is not a big deal ..
Hahaha Asante mkuu.Naam! Umemaliza Mkuu. Naomba nikuhost next time
Hahaha Asante mkuu.
Nigeria GDP yake ni kubwa kutokana na mafuta ambayo kwa kiasi ipo foreign owned wakati south Africa ni kinyume chake na pia ipo more diverse katika sekta za kiuchumi plus influence ya white population hapo. Can you relate hiki kitu na comparison ya miji hii yetuNigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?
Kwa miji ambayo inakatwa kodi sawa (under the same tax regime) unafikiri kwanini mji mmoja uwe unachangia kodi mara mbili ya mji mwingine?
Jibu ni kwamba, economic vibrancy, hela inatembea mno Arusha kulinganisha na Mwanza. Jiji la Mwanza hsalizalishi hela kama Jiji la Arusha. Jiji la mwanza ni sawa na Kariakoo tu kwa revenue.
Nitafutie quarter ambapo Mwanza ilitoa mapato makubwa kuliko Arusha na hutopata kwa sababu haijawahi kutokea.
Kwa hiyo, kujibu swali la mtoa mada, Arusha is by far more economically vibrant than Mwanza.
Unasema usafiri wa anga Mwanza Ipo nyuma what's the hell..! Route inayoongoza kwa wasafiri wa anga kwa mdani ni Dar-Mwanza, Mwanza-Dar.
Kila siku kuna flight zaidi ya mbili
Ars Kia Dar ndo route gan hiyo wakati hata Bombadier haiwezi tua kiwanja cha Ars?Mkuu tema mate. Huku kuna airport mbili KIA na Kisongo. Asbh saa 12, 2, 4, saa 8 mchana, 11jioni na saa mbili usiku ni KIA-DAR/DAR-KIA. Na saa sita mchana ni Dar - Ars(Kisongo) Airport.
This mean, kuna flights zaidi ya mara saba route ya ARS/KIA - DAR kwa siku.
Nasisitiza there is no airport in Mwanza just an airstrip
Ars Kia Dar ndo route gan hiyo wakati hata Bombadier haiwezi tua kiwanja cha Ars?
Halafu wewe Mwanza huijui kaa kimya naongezea chache tu.Mkuu kwa ufupi sana, Mwanza ni Ngarenaro ya Arusha. Nimeenda Mwanza 9times. Hivi mwanza kuna hoteli ngapi za maana kama sio mbili tu (Malaika na Tilapia)??? Wanitajie zingine hata mbili tu kama zipo. Wasitaje guest house[emoji13]
Yes.Nigeria GDP yake ni kubwa kutokana na mafuta ambayo kwa kiasi ipo foreign owned wakati south Africa ni kinyume chake na pia ipo more diverse katika sekta za kiuchumi plus influence ya white population hapo. Can you relate hiki kitu na comparison ya miji hii
Not exactly cos I;m not the one compiling them ila tourism and financial services (Banking) kwa Arusha zinaweza kuwa top. Pia Hospitaslity na Transportation.Secondly Arusha city council inaongoza kimapato lakini unaweza onesha contribution ya sekta zilizopo hapo "jijini" zinazoendesha hayo mapato . Maybe naweza kuelewa zaidi
Napanda ndege sana tu,hadi za mashirika ya kimataifa... Bombardier achilia mbali Airbus haiwezi tua Arusha!! Huko ni ndege ndogo tu kama precision na fast jet.Precisionair inashuka ars airport mchana. Kwa vyovyote vile ni vigumu kuelewa haya mambo ya anga na routes zake ikiwa unapanda Zakaria bus...
The richest country in Africa ni ipi?Nigeria ina GDP kubwa kuliko South Africa, nchi ipi kati ya hizi mbili ina uchumi bora? Au ipo bora kiuchumi?
Kwa miji ambayo inakatwa kodi sawa (under the same tax regime) unafikiri kwanini mji mmoja uwe unachangia kodi mara mbili ya mji mwingine?
Jibu ni kwamba, economic vibrancy, hela inatembea mno Arusha kulinganisha na Mwanza. Jiji la Mwanza hsalizalishi hela kama Jiji la Arusha. Jiji la mwanza ni sawa na Kariakoo tu kwa revenue.
Nitafutie quarter ambapo Mwanza ilitoa mapato makubwa kuliko Arusha na hutopata kwa sababu haijawahi kutokea.
Kwa hiyo, kujibu swali la mtoa mada, Arusha is by far more economically vibrant than Mwanza.
iN TERMS OF WHAT?The richest country in Africa ni ipi?
Ukiulizwa swali nililokuuliza ndo jibu lake hilo?iN TERMS OF WHAT?