Napanda ndege sana tu,hadi za mashirika ya kimataifa... Bombardier achilia mbali Airbus haiwezi tua Arusha!! Huko ni ndege ndogo tu kama precision na fast jet.
KIA sio yenu sasa!!! Msijimilikishe uwanja wa watu! Halafu Route ya Dar-KIA ni seven route per day toka lini?Upo sahihi mkuu kwamba Airbus haiwezi kushuka Ars airport. Ni ndege ndogo size ya Precision tu. Fast jet haipo tena. Lakini kumbuka KIA ina serve Jiji la Ars. Hao abiria from 7 flights per day ni wa Ars. Hapa nakupa data za uhakika maana nipo kwenye hiyo sekta. Ask me anything about this particular field. Nitakupa idadi ya ndege, mizigo na abiria wanaopita KIA kwa mwezi na kwa mwaka including revenue collected therein...
GDP ya Arusha ni ngapi? Tuonyeshe hiyo GDP per capita unayosema ni highYes.
Hakuna GDP calculations zilizofanywa na miji hii miwili, kwa hiyo GDP zote zinaishia kwenye regional level. Mwanza is almost if not more than twice as much when it comes to population size. Arusha as a region has a higher GDP per capita.
Kwa hiyo, ukiangalia regional GDP kama kigezo cha kuonyesha ubora wa majiji haya kichumi unakuwa unakosea na hutaakisi uasilia. Ndiyo maana nikamjibu jamaa kuwa Quality ya uchumi haipimwi na ukubwa wa GDP. (labda ungeangalia niliyemnukuu ungeelewa).
Not exactly cos I;m not the one compiling them ila tourism and financial services (Banking) kwa Arusha zinaweza kuwa top. Pia Hospitaslity na Transportation.
YepUkiulizwa swali nililokuuliza ndo jibu lake hilo?
Kwanini nikuonyeshe? Kwani huwezi kutafuta?GDP ya Arusha ni ngapi? Tuonyeshe hiyo GDP per capita unayosema ni high
Ngoja nikuulize kwa kiswahili,Taifa tajiri no.1 Africa ni lipi?
Siijui.Kwanini nikuonyeshe? Kwani huwezi kutafuta?
Yani kuna wengine humu nawastukia akili zenu ni kama haziko sawaMkuu tema mate. Huku kuna airport mbili KIA na Kisongo. Asbh saa 12, 2, 4, saa 8 mchana, 11jioni na saa mbili usiku ni KIA-DAR/DAR-KIA. Na saa sita mchana ni Dar - Ars(Kisongo) Airport.
This mean, kuna flights zaidi ya mara saba route ya ARS/KIA - DAR kwa siku.
Nasisitiza there is no airport in Mwanza just an airstrip
Yes.
Hakuna GDP calculations zilizofanywa na miji hii miwili, kwa hiyo GDP zote zinaishia kwenye regional level. Mwanza is almost if not more than twice as much when it comes to population size. Arusha as a region has a higher GDP per capita.
Kwa hiyo, ukiangalia regional GDP kama kigezo cha kuonyesha ubora wa majiji haya kichumi unakuwa unakosea na hutaakisi uasilia. Ndiyo maana nikamjibu jamaa kuwa Quality ya uchumi haipimwi na ukubwa wa GDP. (labda ungeangalia niliyemnukuu ungeelewa).
Not exactly cos I;m not the one compiling them ila tourism and financial services (Banking) kwa Arusha zinaweza kuwa top. Pia Hospitaslity na Transportation.
Huyu jamaa ameikomalia KIA utafikiria ni yao na Mimi nimemuomba anieleweshe kwamba hiyo KIA ipo Arusha au K'njaro
Wewe amini tu, utauona ufalme wa mbingu.Siijui.
Wewe unayesema ni high ndo unionyeshe!
[emoji23][emoji23][emoji23] siuoneshe tu mkuu kwani shingapi
Hayo mapato ni regional.Naelewa facts zote unazotoa ni secondary data lakini nilikuuliza ili nijue kuna kitu gani Arusha "city" ambayo ina manispaa moja ambayo inaweza kuwa ni economical muscles za kulingana na jiji lenye manispaa mbili.
Nakumbuka kwenye thread ya contribution ya Dar kimapato kuna watu walisema kuna makampuni yanaoperate mikoani lakini yanaenda kulipia kodi dar. Nikirudi kwa Mwanza vs Arusha, Mwanza city ndio inabeba mkoa wakati Arusha City haibebi Arusha kimkoa.
With the same context, What if tozo za tourism zinapitia Arusha city council na kufanya ionekane ipo vizuri while in reality mapato hayakutokana na production iliyofanyikia jijini Arusha !!!.. itakuwa fair kweli kulinganisha na Mwanza
Nakuuliza ili kujua zaidi brother
No boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!Alimaanisha GDP per total population.
Mwanza ina population kubwa zaidi ya Arusha hivyo kwa kutumia njia hiyo unaweza kuta per capital income ya Arusha ikaizidi mwanza japo zote ni guessing tu na hata ukitumia per capital income kama kielelezo cha uchumi bado ina exceptions kibao. Sikutaka tu kufanya mjadala uwe mreeeefuu
Nilijua hauna jibu.Ukweli ni kuwa mji wenu ni mchanga ila mnalazimisha kupambana na giants tu. Sijawahi ona uzi wa dar vs mwanza ila humu nyuzi za dar vs arusha sijui mwanza vs arusha zimejaa kama nini halafu mnaozianzisha ni ninyi! Sasa wewe upambane na Dar yenye manispaa 5 wewe unayo moja kama kina Tanga utaiweza?Wewe amini tu, utauona ufalme wa mbingu.
No boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!
Watu wanataka figures na si blah blah kibao. Mimi nimeuliza hili swali kimakusudi na nilijua kabisa litawaletea kigugumizi.
Nilijua hauna jibu.Ukweli ni kuwa mji wenu ni mchanga ila mnalazimisha kupambana na giants tu. Sijawahi ona uzi wa dar vs mwanza ila humu nyuzi za dar vs arusha sijui mwanza vs arusha zimejaa kama nini halafu mnaozianzisha ni ninyi! Sasa wewe upambane na Dar yenye manispaa 5 wewe unayo moja kama kina Tanga utaiweza?
Halafu hamjui tu hata huko nje mnajulikana kama mji wa utalii tu sijui ninyi binafsi mnajionaje.
Endeleeni kujenga mji wenu ambao hata bila lockdown umekuwa hoi kupindukia
Not region we're talking of cities! Mwanza city & Arusha city...Hata population tumetoa za cities! Bring it on!
Usipende kufanya kila kitu ni mashindano. I can learn from you and you can learn from me. Usipende kupoteza muda kama jambo unalofanya halina faida kwako.Not region we're talking of cities! Mwanza city & Arusha city...Hata population tumetoa za cities! Bring it on!
Dah hiyo bombardier wewe unaelewa imetokea nini hadi nimeiongeleaje? Hiyo mada mmeileta ninyi. Kwanza mmeanza kuushusha hadhi uwanja wetu,mkasema sio uwanja ni kituko tu,haya,mkaendelea mkasema ninyi mna KIA,..halafu mkamaliza kwa kusema kuwa Dar-KIA-Ars ni safari saba kwa siku!! Sasa mi ndo nikauliza Hiyo Dar-KIA-Ars ni route gan ilhali hata ndege aina ya Bombardier ukiachilia mbali Airbus haiwezi tua kiwanja chenu?,...Sasa naona wewe ndo ukaamua kushika hapo kwenye bombardier na hata sijaelewa kosa langu ni lipi hapo.Usipende kufanya kila kitu ni mashindano. I can learn from you and you can learn from me. Usipende kupoteza muda kama jambo unalofanya halina faida kwako.
Wewe una data za jiji la mwanza? Mimi sina, unazo za jiji la Arusha? Mimi sina.
Ila nakuhakikishia, na nimeangalia mambo mengi kuwa Jiji la Mwanza halikjachangamka kiuchumi zaidi ya Arusha. Naona unazungumzia sijui Bombardier wakati Arusha hata Dar haiifikii kwa civil aviation.
Matajiri wa Arusha wana nsege uwani na husafiria Cessna zao. Hii ni Culture ya matajiri wa Arusha tangu enzi za Nyerere. Wewe unazungumza Bombardier??
Beuh, from the looks of thangs you seem to be a bit misinformed but thats just me thinking.
Mkuu acha kudanganya uma, Mwanza ni kubwa na nzuri kuliko Arusha kwa maoni yangu sababu nimeishi majiji yote na hivi sasa nipo moja ya haya majiji lakini takwimu zako sio za kweli.Unajua shida hujaelewa mada inasema nini!,Hapa tunazungumzia majiji(CITY COUNCIL)siyo mkoa mzima,Kwa takwimu za sensa ya mwaka 2012 Arusha (Jiji) lilikuwa na watu zaidi ya laki 4 lakini Mwanza (Jiji)lilikuwa na watu zaidi ya milioni 2