Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Your dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.Usiwe mjinga kiasi hicho ina maana unapinga sasa hata Marekani kuwa namba moja kiuchumi duniani na pia Nigeria kwa Africa ama kweli wewe ni zuzu.
Kwa chanzo chako chochote niwekee hapa nchi tajiri kwa dunia na kwa Africa afu ujione ulivyo panga boi, eti wanaijeria wanaikimbia nchi yao kwenda nchi nyingine kama ulikuwa hujui wale jamaa ni wanacheza na fursa yani wakiona fursa sehemu lazima waende nayo na kukuhakikishia hilo wapo wamarekani wengi tu wameondoka marekani nchi zingine kupiga mishe mishe na marekani ndo nchi tajiri.
Swali; leta orodha ya nchi tajiri duniani na Afrika kutoka kwenye chanzo chako chochote tumalize kwa ubishi hapa
Umemaliza kila kitu hapo nilipokozesha wino.Aya yako ya pili.Usiwe mjinga kiasi hicho ina maana unapinga sasa hata Marekani kuwa namba moja kiuchumi duniani na pia Nigeria kwa Africa ama kweli wewe ni zuzu.
Kwa chanzo chako chochote niwekee hapa nchi tajiri kwa dunia na kwa Africa afu ujione ulivyo panga boi, eti wanaijeria wanaikimbia nchi yao kwenda nchi nyingine kama ulikuwa hujui wale jamaa ni wanacheza na fursa yani wakiona fursa sehemu lazima waende nayo na kukuhakikishia hilo wapo wamarekani wengi tu wameondoka marekani nchi zingine kupiga mishe mishe na marekani ndo nchi tajiri.
Swali; leta orodha ya nchi tajiri duniani na Afrika kutoka kwenye chanzo chako chochote tumalize kwa ubishi hapa
Your dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.
Bye.
Polepole mkuu Arusha na Mwanza yote ni miji yetu.Your dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.
Bye.
Arusha ukipiga filimbi jiji lote wanasikia
Wale hata ukiwaambia Johannesburg vs Arusha watakuambia Arusha iko juu.Mkuu watu hapa wanibisha kwa hisia badala ya uhalisia tu yani Arusha hii hii ya kufananisha na Mwanza ambayo hata kwa usafiri wa umma haueleweki
Arusha to dar ni bei Gan kwa precision?
Mkuu nilitoa kanuni ya kutafuta per capital income na sikuwa najibu swali lako directlyNo boss haya mambo yanaenda realistic...Ukiona mji wako hauujui au haufahamiki figures zake za kiuchumi jua hata kwenye level ya ushindani na miji ya nje bado!!
Watu wanataka figures na si blah blah kibao. Mimi nimeuliza hili swali kimakusudi na nilijua kabisa litawaletea kigugumizi.
Mkuu kakueleza ukweli acha kupanikiYour dad wasted his sperms to get an idiot son like you. Simply a fucking bastard.
Bye.
Huu ni mjadala si vinginevyoArusha kiuchumi ipo juu sababu ya utalii. Je jiulize swali mleta mada. Ukuaji wa kiuchumi wa Arusha unamsaada gani kwako wewe mtu wa chini na familia yako binafsi. Hapo utakuja kugundua bora uende Mwanza ukafanye biashara kuliko uishi au kufanya biashara Arusha.
Arusha kuna viwanda vipi tofauti na general tyre ambayo nayo isha jifia?,hebu vitaje
A to Z Textile. Nadhani ni kikubwa mno baada ya Dangote cementMkuu vitaje hivyo viwanda,ukiondoa cha General Tyre ambacho kilishajifia,Mkuu kabisa bila kupepesa macho na wewe unaamini kwamba Arusha inaizidi Mwanza kiuchumi?