Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Wewe ni ushamba ndio unakusumbua tu
Good umeliona hilo
Mwanza ndio sehemu wako primitive zaidi, sehemu yenye washamba wengi zaidi😄 data za NBS 2020 Mwanza Na Geita ndio inaongoza kwa umaskini kumbuka huu ulikua mkoa mmoja! Hivyo sishangai watu wa mwanza wakiendelea kuleta mashindano Na Arusha nimewaambia milele Mwanza haiwezi kuifikia Arusha waanze kwanza na kuboresha lifestyle na makazi ya watu wao, hapa tu tunadiscuss miji wanaleta data za mkoa mzima, tukiongelea population density hawajui Dah😎
 
Kwa sisi wa Mwanza tunaoishi Arusha hamtudanganyi kitu. Hakuna mji wa ovyo kama Arushaaa. Narudia wacheni kulinganisha Mwanza na vitu vya Kijinga... PERIOD
 
Ukiona mtu analinganisha mwanza na Arusha na kusema Arusha ni pazuri huyo mtu kwa maana halisi hajawahi kufika na kuitembelea mwanza! Ki ukweli mwanza iko mbali sana, nimesoma Arusha kidato cha 1 hadi 4 tuache kupotoshana, zaidi ya dar es salaam mwanza is the best manthari, mzunguko wa pesa, ukarimu, miundombinu, usafi, usafiri ndani ya jiji, mgawanyo wa maji, unahisi wa kufanya biashara, unahisi wa bei ya vyakula na upatikana wake pamoja na unahisi wa nyumba za kupanga!
 
Poor city for poor people
 
Kwa sisi wa Mwanza tunaoishi Arusha hamtudanganyi kitu. Hakuna mji wa ovyo kama Arushaaa. Narudia wacheni kulinganisha Mwanza na vitu vya Kijinga... PERIOD
PERIOD TENA🤣 ARUSHA TULISHAACHA KUJILINGANISHA NA MWANZA KITAMBO SANA
MJI MASKINI AFRIKA 😎
 
PERIOD TENA🤣 ARUSHA TULISHAACHA KUJILINGANISHA NA MWANZA KITAMBO SANA
MJI MASKINI AFRIKA 😎
Aahahaaaa maskini lakini una projects za Ma-trillion 😁 😁 😁 😁

Mwanza Multi Trillions projects

Kigongo - Busisi TZS 699 billion (Yaani hapa unajumlisha Kigamboni na Kijazi bridge na unabaki na chenji) 😁😁😁😁😁



Mwanza - Isaka SGR project TZS 4.3 trillions


New Mv. Mwanza contract cost 39million US dollars (89.7bn/-).


MV. Victoria rehabilitation contract TZS 21 Billions



Ujenzi wa Chelezo TZS 36 Billions





Mwanza International Airport TZS 89.3 billions




Weka miradi ya Viberiti vya Arusha kama zinafika hata robooo ya project za Mwanzaaaaa Mwanzaaaaa Mwanzaaaa
 
Mwanza ndio jiji pekee ambalo mtu anaweza akatokea na bado akawa mshamba kupindukia
Kwanza hajui vitu zero exposure, Ni rahisi kuwaingiza kingi
Hahahahahahaha kweli mzee hapa umesema kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi ulivoanza kuandika nikajua ni kitu cha maana...kumbe hujui hata population density maana yake ni nini??
Wewe umetoka ziwani sehemu gani mkuu[emoji2][emoji2] we fuatilia data za sato na sangara tu kuhusu population tuachie wenye ujuzi
Hahahahaha afuatilie data za Sato na sangara au siyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaa Arusha kakishindanishwa na wilaya ya Nyamagana ya jiji la Mwanza akatoboi.
Ka Arusha kwa jiji la Mwanza ni kama nzi wakati Mwanza ni Tembo.
Hahaha wasukuma bhana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Takwimu za umasikini zinaonesha mwanza ni masikini sana, je ni kweli?
 
Wee jamaa bana unaweka mameli hapo na mavivuko umesikia Arusha kuna bahari au ziwa kama Victoria???sasa unataka daraja la nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mwendazake alisema wazi wazi Arusha wasahau maendeleo.
Ila nakubali watu wake ni don't care halafu mji bado unajengwa.
 
Shujaaa kwao ni Geita hizo meli hata hazina ratiba ya Geita, Ukarabati tu wa Airport ya Mwanza investment yake unapata Airport mbili za Chato mpya na Chenji inabaki. Daraja na SGR vyote vinajengwa Mwanza na sio Geita. Wacheni kumsema Shujaa ambae bado aliwakumbuka kwa meter gauge rail way iliyokufa kwa zaidi ya miaka 30. Bado akawapa dual carriage road kutoka USA, Barabara la Mzunguko East Africa road.

Serikali makini inapekeka pesa inapoweza kutengeneza mapato zaidi.
 
Tunapoteza nguvu tu hapa kubishana vitu visivyo na maana wakati ukweli unajulikana HUWEZI KULINGANISHA JIJI LENYE MANISPAA MBILI NA KAJIJI KENYE MANISPAA MOJA YA KUUNGA UNGA.Itoe Nyamagana pembeni, Arusha jiji ilinganishe na manispaa moja tu ya ilemela
 
Wewe pato la Arusha unalijua?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 


 
Hivi munapata wapi ujasiri wa kuilingnisha Arusha na mwanza aise.
Hii mwanza ambayo vyoo ni shida tu ndo muilinganishe na Jiji kama Arusha.? Wasukuma bana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…