Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Mzunguko wa pesa kwa jiji la mwanza ni mkubwa sana, leo nimezunguka mwanza na kugundua kuna yard za kuuza magari zaidi ya 50, maana yake kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa hivyo jiji mwanza ni bora kuliko jiji la Arusha.
 
Umezunguka mwanza
Na arusha unaijua wewe
Hujui Arusha ndio yennye magari mengi baada ya dar???
Unajua Arusha Kuna majengo yenye ghorofa Zaidi ya Kumi 20 mwanza hata 10 hayapo
Unajua Arusha ni makao makuu ya afrika mashariki unazani watumishi wake wanatembelea baiskeli
Hapo sijaongelea utalii, sijaongelea madini Sasa hivi Tanzanite hayatoki nje soko Lake duniani liko Arusha
Sijaongelea viwanda ambapo Arusha ni ya 3 nyuma ya dar Na pwani
Tembea braza usijifungie hapo ziwani
 
Mwz kwa hiyo Idadi wanaopanda ni wazawa, hiyo Arusha ukitoa utaliii hamna tofauti na kiwanja cha Sumbawanga
Kwa maana hiyo watu wa mwanza ni matajiri kuliko watu wa arusha 😀😀
Mkuu usisahau umetoka kwenye mkoa maskini afrika😎
 
Hahahaha wasukuma bila serikali hawana maendeleo

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha kweli wewe boya kabisa ..sasa halmashauri nini? Ni private secta? Iyo lapf ni shirika lenu nini..tunaposema mwanza inategemea serikali yenu ya ccm inayochagua wapi ipeleke maendeleo munabisha. Njo arusha uone watu wanaporomosha Malls za kutoka ..yani kamwanza chote na Mall moja tu tena kwa msaada wa serikali halafu kanakuja kamtu kamoja kama wewe unaanza kulinganisha jiji bora kabisa na katakataka kama kamwanza.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kitombile kitombile
Unajua maana ya serikali
Kwahio halmashauri sio serikali
Na hiyo lapf ni shirika la Nini
Hamna mwekezaji serious anayeweza wekeza Mwanza
Ondoka huko ziwani panakudumaza akili [emoji41]
Shauri yako
Yani ndo akili za kisukuma hizi hamna kitu wanajua hawa watu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu nishtue 😂😂
 
Hayo ni mapato ya ndani ya halmashauri lakini kwa makusanyo ya tra yaani changanya hiyo mikoa yote maskini ya kanda ya ziwa hawatupati 😃
 
Hayo ni mapato ya ndani ya halmashauri lakini kwa makusanyo ya tra yaani changanya hiyo mikoa yote maskini ya kanda ya ziwa hawatupati [emoji2]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] yaani ile mikoa ya kule juu ni kama ina laana vile..Kuliko kuishi kanda ya ziwa bora uishi Nyanda za Juu Kusini
 
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] yaani ile mikoa ya kule juu ni kama ina laana vile..Kuliko kuishi kanda ya ziwa bora uishi Nyanda za Juu Kusini

Kuifananisha Arusha na Jiji la mwanza mnakosea sana, wekeni ukabila pembeni na muongee uhalisia wenyewe. Mwanza ni big city baada ya dar, binafsi naliona ndio the best city in east afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…