Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Ni kweli mwisho alianza kukosa ule umaarufu na kuingiza utoto zaidiNdio ni mbabe sema Nlikuwa nakereka niwe mkweli.akianza na Yale mamidoli yake πββοΈ
Mi nataka watu wanapigana mwanzo mwisho sio vimbwanga
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Hili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
πUmri ukienda nguvu ya kuangalia hata hamu inapungua.Ni kweli mwisho alianza kukosa ule umaarufu na kuingiza utoto zaidi
Siku hizi napitwa sana sijui uzee
Dadyyyy, nikiongeza neno nitaharibu πKwani wewe unataka majina wanayoitwa wengine?
Ndio,mwanagu anaitwa binti kiziwi ninao wawili,mwingine anaitwa Binti wa zamani
Subiri watakuja hapa kuweka ushuhuda.
Majina yote ya wstu yanayoanzia na ABCDE ni mazuri mradi yasiwe ya kiswahili mfano ChausikuHili jina hapa Tanzania naona kama ni adimu, zaidi ya msanii wakike tunaemjua, je? Ni jina zuri kumpa mtoto wa kike.? Au kama una jina zuri pendekeza na maana yake, DINI ukristo
Cultural Imperialism imeathiriUnashindwa kumuita majina ya ukoo wenu unamuita majina ya koo zingine za wazungu.
Drinkwater?Majina yote yanayoanzia na ABCDE ni mazuri mradi yasiwe ya kiswahili mfano Chausiku
Huwa hawadinywi sana kama akina Jesica, Irene...Wanakuaga wa aina gani labda ujazie kidogo
Kama unaona hayo ni ya watu wapeweDrinkwater?
Bridge?
Cook?