Una uhakika Gani kama Mimi Sina asili ya kihebrania? Au kwakua najua kiswahiliJina zuri linatakiwa liakisi asili yako. Likunbushe mizizi ya kwenu. Sasa Abigail ni jina la kigeni. Lina asili ya kiebrania, wewe ni mhebrania?wanaija huo utumwa walishaukataa. Wanatumia majina yao. Nimekupa idea nadhani.
HUNA. Acha kutunga uongo. Usione haya asili yako. Akili za kitumwa.Una uhakika Gani kama Mimi Sina asili ya kihebrania? Au kwakua najua kiswahili
KiebraniaYana asili ya wapi
Kwani wewe unataka majina wanayoitwa wengine?Wewe mtoto wako anaitwa Binti kiziwi?
au UKWELIUSEMWEPEUPE.?
Hilo ni anonymous nameKim Jong ni ukoo wenu?
🚮Kwani wewe unataka majina wanayoitwa wengine?
Ndio,mwanagu anaitwa binti kiziwi ninao wawili,mwingine anaitwa Binti wa zamani
Subiri watakuja hapa kuweka ushuhuda.
si ungejiita Kinjeketile NgwaleHilo ni anonymous name
Tunazungumzia majina ya kwenye Vyeti vya KUZALIWA
Unaweza kuta mwenye thread yake ndo Sister Abigail mwenyewe 😃😃😃Sister Abigail unasemaje?
Namuhurumia huyo mtoto kupata Baba wa aina hii.
Wahebrania majina siku ya 8 wanampa mtoto jina, hawahangaiki hivi.Unanijua?
sidhani ikiwa hilo ni muhimu gentleman,Wewe ni dini gani?