Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Mtoto wa prof..
Hilo jina lina laana sijui majority ni brats, ata akiwa mtoto wa Trump utaipata ya freshi! Ni matatizo mzee, na ndio first time ilibidi nikacheki ngoma aisee kutest kama still nipo okay! Thanks God i passed the test!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lyidia tuliachana kwa nyodo zako, ulipojua nina Juliet ukaenda kumletea fujo kazini kwake, natamani ukutane na watu wasiojulikana wakubake.
[emoji3] [emoji3] duuuuhhhh
 
Aisha popote ulipo u ar a fucki* cun*... Niliambiwa sikusikia. Nilikusaidia kupata kazi lakini ulichonifanyia malay* ww... Mwanamke una bonge la komo, ushungi tu unakusitiri.. To hell!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo ndio unajua ana komwe!!
 
salama mwanamke asiyekomezana kulalamika had kero et aaaah!
 


Mzee wa tathimini endelea, Majina ya kigalatia bado yanaongoza

Majina ya KIDAWA, BHOKE, SIWATU, CHAUSIKU, TULA, JAMILLAH yanaonekana yako salama

Wanaume wanoongoza kuumizwa, nini tafsiri yake? Nguvu za kiume au mambo ya mkuki kwa nguruwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…