konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #1,941
Mwendelezo upo katikati ya pages mkuu. Endelea kupekua utaupata. Usiishie tu sehemu ya 32. Au omba moderators waziweke zote hapo mbele kwenye page ya kwanza.Kamanda tunasubiri muendelezo
Tunasubiri episode angalau 1 leo usikuMwendelezo upo katikati ya pages mkuu. Endelea kupekua utaupata. Usiishie tu sehemu ya 32. Au omba moderators waziweke zote hapo mbele kwenye page ya kwanza.
Mkuu huyo shemeji yetu alikuwa anaitwa KHUMBU nani sorry lakini nataka nimchungulie facebookMwenye uwezo wa kuwatag moderators afanye hivyo ili kuuweka mwendelezo kwenye page ya kwanza. Naona watu wanaishia episode ya 32 then wanaanza kuulizia mwendelezo wakati kuna episodes nadhani inaweza kufika hata sehemu ya 60. Please watag moderators watu wapunguze kuulizia mwendelezo.
Acha kubishana na huyo ametokea Tinde haijui dunia!!!Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
Khumbu NyangeMkuu huyo shemeji yetu alikuwa anaitwa KHUMBU nani sorry lakini nataka nimchungulie facebook
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Akaaaa hapana,Khumbu Nyange
Uwiii ya 31 ??? sie tuko kama ya 70 na kitu hiviMwendelezo bos nimeishia 31
Mkuu unataka kusemaje?But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Si unaona mambo yao , wanaringishia makalio
hahahahhahaMimi najua hata episode ya ngapi nasoma tu vinavyoendelea we mzee
hafai kuitwa mwamba ni falaMkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.