Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Mwenye uwezo wa kuwatag moderators afanye hivyo ili kuuweka mwendelezo kwenye page ya kwanza. Naona watu wanaishia episode ya 32 then wanaanza kuulizia mwendelezo wakati kuna episodes nadhani inaweza kufika hata sehemu ya 60. Please watag moderators watu wapunguze kuulizia mwendelezo.
 
Mwenye uwezo wa kuwatag moderators afanye hivyo ili kuuweka mwendelezo kwenye page ya kwanza. Naona watu wanaishia episode ya 32 then wanaanza kuulizia mwendelezo wakati kuna episodes nadhani inaweza kufika hata sehemu ya 60. Please watag moderators watu wapunguze kuulizia mwendelezo.
Mkuu huyo shemeji yetu alikuwa anaitwa KHUMBU nani sorry lakini nataka nimchungulie facebook

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acha
Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
Acha kubishana na huyo ametokea Tinde haijui dunia!!!
 
Nikamilishe page ziwe 2000 [emoji23][emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]
 
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mkuu unataka kusemaje?
Tuache na upumbavu wetu tudanganywe hayakuhusu.

Unataka upate elimu ya uraia hapa.
Mayor kitu gan ndugu yangu?
 
Mkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.
hafai kuitwa mwamba ni fala
 
Back
Top Bottom