machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Ukiliwa na Simba utafufuka na Simba iyo siku ya ufufuko? Ana ukateketea na Moto utafufuka Kama poda2.Kiendacho mbele ya haki ni Roho ya mja na mwili wake. Ukishafariki kwa imani ya Kiislamu Roho inaenda Sehemu yake ambayo ni mbinguni na mwili utaenda kuhifadhiwa kaburini mpka Siku ya Ufufuo