Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

2.Kiendacho mbele ya haki ni Roho ya mja na mwili wake. Ukishafariki kwa imani ya Kiislamu Roho inaenda Sehemu yake ambayo ni mbinguni na mwili utaenda kuhifadhiwa kaburini mpka Siku ya Ufufuo
Ukiliwa na Simba utafufuka na Simba iyo siku ya ufufuko? Ana ukateketea na Moto utafufuka Kama poda
 
Ukiliwa na Simba utafufuka na Simba iyo siku ya ufufuko? Ana ukateketea na Moto utafufuka Kama poda
Kwanza unatakiwa uamini kma mm ndipo utalielewa vizuri jibu langu
Katika uislamu tuna amini kua kila mja atafufuliwa vile alivokufa
kwaio kma ulikufa kma mwizi au kma mzinifu utafufuliwa hivo hivo ulivokufa
 
Kama kila mja atafufuliwa vile alivyokufa,basi Kama ulikufa kwa kuungua Moto utafufuka kimotomoto au Kama ulikufa kwa kuliwa na mamba utaamka angali mamba!
Niko sahihi?
 
@Ambition plus jibu umeliona?
Yah!nimeliona.nimeona unanichagulia namna ya kuzikwa.
Shida yako unaamin kila mtu yuko na dini,na kama sio mwislam bas mkristo.
Mimi naamini ukifa umekufa,mwili hauna thamani tena,vishwa suti ama shela,zikwa uchi ama na sanda,uwe mchafu ama msafi,zikwa ama tupwa porini.
Hayana mantiki.
 
Sasa mm nipo kiimani zaidi
kumbe ww huamini ata Mungu sasa haya ya kiimani ww kaa nayo pembeni
 
Kama kila mja atafufuliwa vile alivyokufa,basi Kama ulikufa kwa kuungua Moto utafufuka kimotomoto au Kama ulikufa kwa kuliwa na mamba utaamka angali mamba!
Niko sahihi?
Nahis jibu nimeshakupa la kujitosheleza
 
Hakuna Dini nyengine yeyote hpa Duniani inoendana kimaumbile kma Uislamu we ukikataa ni ww tu lkn Uislamu ndio dini Safi kabisaa ya kuifuata
Watu wengi wamekua wakiituhumu Uislamu kwa Ushirikina na Mambo mengine lkn ukweli kua izo ni Chuki zao tu juu ya Dini yetu Pendwa

Ukiwa hupendi kuitwa KAFIRI fanya Usilimu tuu
Kama Allah anafanya haya hapa , tuuchukulieje uislamu
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Kama Allah anafanya haya hapa , tuuchukulieje uislamu
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
ww mm sikujibu tena mna ni mjinga tuu
Iyo aya umeiquote moja tu ungeanza toka juu hlf ningeona kma ungeileta iyo aya hapa
In short ww endelea tu na chuki zako ila dini ya haki ipo
 
Yah!nimeliona.nimeona unanichagulia namna ya kuzikwa.
Shida yako unaamin kila mtu yuko na dini,na kama sio mwislam bas mkristo.
Mimi naamini ukifa umekufa,mwili hauna thamani tena,vishwa suti ama shela,zikwa uchi ama na sanda,uwe mchafu ama msafi,zikwa ama tupwa porini.
Hayana mantiki.
Mtu baada ya kufa unafikiri Cha kufanya hicho unachoona kwako mantiki ni nini?
 
ww mm sikujibu tena mna ni mjinga tuu
Iyo aya umeiquote moja tu ungeanza toka juu hlf ningeona kma ungeileta iyo aya hapa
In short ww endelea tu na chuki zako ila dini ya haki ipo
Sema unaniogopa , unapenda ku debate na wasiojua koran wala hadith wala tafsir ili uwadanganye

Kumbe Allah ndio anatuma mashetani kwa wasio waislamu
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
 
Uzi wa umesomwa na watu zaidi ya 12K, waliouona wa kijinga hata hawajacomment wamepita tu Sasa we sjui umefata Nini hapa, Ni sawa na kumuona kichaa halafu unamfata unamwambia aache ukichaa hapo wew ndo utaonekana chizi.
Haya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.

Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.

Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.

Uzi wa kijinga
 
Unakuja kucomment hivi usikute una familia kabisa, sidhani Kama lingetokea tatizo endapo ungesoma thread na kuiacha bila kukomment kashfa, Mleta mada kawalenga waislamu wasio na ufahamu kuhusu haya maamrisho Sasa wew umefata Nini?? Mbona Uzi umesomwa na watu zaidi ya elfu12 na wamechangia wachache tu wengi wameuacha bila kuchangia. Hebu jiheshimu hata Kama hujafikisha miaka 18.
Kwani Kukamua Mavi maiti ni mawazo ya Nani ?
Weka hapa aliyeruhusu huo ushirikina.
Mambo ya Kishirikina huwa yanafichwafichwa Tu.
Mambo ya haki yanawekwa hadharani.
Mungu hawezi kuruhusu huo Uchafu.
 
katika imani ya Uislamu ni kua ukishakufa ww unaenda mbele ya haki na haina budi kwenda huko ukiwa msafi
Sasa nyie mnavozika na majeneza ya gharama na.masuti na mashela yote ya kazi gani hayo wakati yanaenda kuozeana?
Nikufundishe kidogo ukifa kwa Imani ya uislamu
1. unakutana na adhabu ya kaburi ,Kuna Malaika wanakuja wanakuuliza maswali ukikosea wanakupiga marungu ya chuma kichwani
2. Unakaa kaburini mfu umeoza mpaka siku ya kihama
3. Allah atamfufua kwanza Muhammad ILI aje badae awatambulishe umbo la Allah , na atawatambulisha ugoko wa Allah

Kutilia mkazo Hadith hii hapa Muhammad anasema yeye ndio wa kwanza kufufuliwa siku ya mwisho

“I am the leader of the sons of Adam, and it is no boast. I will be the first one for whom the earth will be split open on the Day of Resurrection, and it is no boast.
Sunan Ibn Majah 4308
 
Tunaomba andiko.kutoka kwenye Quran linaloagiza kufanyika kwa zoezi hili

Tunaomba tupate uzoefu kabla ya Mtume Mohamed Waarabu walizika kwa utaratibu upi?
 
Inasadia nini akiwepo kwenye sanduku ata useme bora igekuwa ivo? Au unamvisha suti ili iweje?

Naona baadhi yenu mmekuwa mnakataa uoshaji wa maiti, hebu atokee mmoja atueleze kwa imani ya kikristo/kiyahudi/kihindu n.k huwa mnafanya nini mtu akifa? Cha kushangaza zaidi upande wa pili huwafanyia mambo maiti mpaka unajiuliza, upuuzi gani huu? Eti kuoshwa maiti watu wameona ajabu 😀 wachafu nyie!

Sisi waislam hata maiti tunaipa heshima yake na usafi ni sifa ya muislam. Hatumdharau maiti. Tunamuosha na kumweka katika makazi yake mengine. Akifika huko, ni yeye na Mola wake tena, kama alikuwa mwema au muovu sisi sio kazi yetu tena.

Sisi hatukamkamua maiti mavi japo tunampa heshima

Kumvalisha suti maiti siyo agizo la Biblia bali ni mazoea na hata usimpomvalisha hiyo suti huesabiwi dhambi
 
Nimezungumza huko juu kwamba zoezi hili la kukamua, ni mila tu na desturi iliyorithiwa toka kwa wavamizi wa Kiarabu na sio maagizo au mafundisho ya Dini flani.
Huko Uarabuni sio Waarabu wote wanaotekeleza hili zoezi.

Kama ni fundisho la Dini mtu aje na Aya au Hadithi ya kuthibitisha hoja hii.

Jamiiforum ni jukwaa lenye kuhudhuriwa na watu waliostaarabika. Na ni jukwaa lenye heshima na mchango mkubwa wa kujifunza maarifa mbalimbali.

Mtu kuandika Mada na kuiweka humu bila chanzo cha habari inachukuliwa kama ni Pororojo au Udaku flani tu.

Kama ni Siri za Dini basi zisiletwe humu, zibakie hukohuko kwenye kwenye Siri za Dini

Hapa habari zenye mashiko na za kuaminika ni zile tu zinazo ambatana na chanzo husika cha hiyo habari.
 
Back
Top Bottom