machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Ukiliwa na Simba utafufuka na Simba iyo siku ya ufufuko? Ana ukateketea na Moto utafufuka Kama poda2.Kiendacho mbele ya haki ni Roho ya mja na mwili wake. Ukishafariki kwa imani ya Kiislamu Roho inaenda Sehemu yake ambayo ni mbinguni na mwili utaenda kuhifadhiwa kaburini mpka Siku ya Ufufuo
Kwanza unatakiwa uamini kma mm ndipo utalielewa vizuri jibu languUkiliwa na Simba utafufuka na Simba iyo siku ya ufufuko? Ana ukateketea na Moto utafufuka Kama poda
Kama kila mja atafufuliwa vile alivyokufa,basi Kama ulikufa kwa kuungua Moto utafufuka kimotomoto au Kama ulikufa kwa kuliwa na mamba utaamka angali mamba!Kwanza unatakiwa uamini kma mm ndipo utalielewa vizuri jibu langu
Katika uislamu tuna amini kua kila mja atafufuliwa vile alivokufa
kwaio kma ulikufa kma mwizi au kma mzinifu utafufuliwa hivo hivo ulivokufa
Yah!nimeliona.nimeona unanichagulia namna ya kuzikwa.@Ambition plus jibu umeliona?
Sasa mm nipo kiimani zaidiYah!nimeliona.nimeona unanichagulia namna ya kuzikwa.
Shida yako unaamin kila mtu yuko na dini,na kama sio mwislam bas mkristo.
Mimi naamini ukifa umekufa,mwili hauna thamani tena,vishwa suti ama shela,zikwa uchi ama na sanda,uwe mchafu ama msafi,zikwa ama tupwa porini.
Hayana mantiki.
Nahis jibu nimeshakupa la kujitoshelezaKama kila mja atafufuliwa vile alivyokufa,basi Kama ulikufa kwa kuungua Moto utafufuka kimotomoto au Kama ulikufa kwa kuliwa na mamba utaamka angali mamba!
Niko sahihi?
Kama Allah anafanya haya hapa , tuuchukulieje uislamuHakuna Dini nyengine yeyote hpa Duniani inoendana kimaumbile kma Uislamu we ukikataa ni ww tu lkn Uislamu ndio dini Safi kabisaa ya kuifuata
Watu wengi wamekua wakiituhumu Uislamu kwa Ushirikina na Mambo mengine lkn ukweli kua izo ni Chuki zao tu juu ya Dini yetu Pendwa
Ukiwa hupendi kuitwa KAFIRI fanya Usilimu tuu
ww mm sikujibu tena mna ni mjinga tuuKama Allah anafanya haya hapa , tuuchukulieje uislamu
19.83 Kwani huoni ya kwamba tumewatuma mashet'ani kwa makafiri wawachochee kwa uchochezi?
Mtu baada ya kufa unafikiri Cha kufanya hicho unachoona kwako mantiki ni nini?Yah!nimeliona.nimeona unanichagulia namna ya kuzikwa.
Shida yako unaamin kila mtu yuko na dini,na kama sio mwislam bas mkristo.
Mimi naamini ukifa umekufa,mwili hauna thamani tena,vishwa suti ama shela,zikwa uchi ama na sanda,uwe mchafu ama msafi,zikwa ama tupwa porini.
Hayana mantiki.
Sema unaniogopa , unapenda ku debate na wasiojua koran wala hadith wala tafsir ili uwadanganyeww mm sikujibu tena mna ni mjinga tuu
Iyo aya umeiquote moja tu ungeanza toka juu hlf ningeona kma ungeileta iyo aya hapa
In short ww endelea tu na chuki zako ila dini ya haki ipo
Haya mathreads ya kijinga sana, kuna dini kila kukicha wanaongelea maiti mara kufa mara kuzikana.
Maisha ni mafupi, furahia kipindi ambacho upo hai.
Kila mtu atakufa lakini isiwe kigezo cha kukumbushana kila siku.
Uzi wa kijinga
Kwani Kukamua Mavi maiti ni mawazo ya Nani ?
Weka hapa aliyeruhusu huo ushirikina.
Mambo ya Kishirikina huwa yanafichwafichwa Tu.
Mambo ya haki yanawekwa hadharani.
Mungu hawezi kuruhusu huo Uchafu.
Nikufundishe kidogo ukifa kwa Imani ya uislamukatika imani ya Uislamu ni kua ukishakufa ww unaenda mbele ya haki na haina budi kwenda huko ukiwa msafi
Sasa nyie mnavozika na majeneza ya gharama na.masuti na mashela yote ya kazi gani hayo wakati yanaenda kuozeana?
Nifukiwe harufu yangu isiwe kero kwa wengine.Mtu baada ya kufa unafikiri Cha kufanya hicho unachoona kwako mantiki ni nini?
Inasadia nini akiwepo kwenye sanduku ata useme bora igekuwa ivo? Au unamvisha suti ili iweje?
Naona baadhi yenu mmekuwa mnakataa uoshaji wa maiti, hebu atokee mmoja atueleze kwa imani ya kikristo/kiyahudi/kihindu n.k huwa mnafanya nini mtu akifa? Cha kushangaza zaidi upande wa pili huwafanyia mambo maiti mpaka unajiuliza, upuuzi gani huu? Eti kuoshwa maiti watu wameona ajabu π wachafu nyie!
Sisi waislam hata maiti tunaipa heshima yake na usafi ni sifa ya muislam. Hatumdharau maiti. Tunamuosha na kumweka katika makazi yake mengine. Akifika huko, ni yeye na Mola wake tena, kama alikuwa mwema au muovu sisi sio kazi yetu tena.
Imuya arawa....Da! ngachoka choki!
π’πββοΈ