Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

Mambo mengine Ni Magumu kutafakari.
Amekufa,na atazikwa mavumbini,na ataoza muda si mrefu,alafu process hizi zote? WHY? Kama walipinduka na gari akazamishwa kwenye matope,au nyumba imeanguka akafukiwa na kifusi hapo inamake sense,
Anyway Mimi Ni kijana sijui mengi.
 
Duuuh!.

Je, wenye nywele sehemu zao za siri? Namaanisha vikwapani na kule kunako. Hawanyolewi?
 
Sisi tuna utaratibu wetu. Kikabila, sisi ananyolewa nywele zote na kukatwa kucha.

Baada ya hapo hupakwa mafuta (kondoo au ng'ombe) na safari yake huanza mara moja.
 
Katika ukimwengu uliojaa maradhi kama wetu sijyi inakuwaje kwa huo utaratibu hasa hiyo ya kumswakisha marehemu kwa kidole tu chenye kitambaa laini. Kuna hatari ya kuambukizana maradhi mwanzo mwisho. Anyway sisi wote tunaoita na njia yetu sote ndiyo hiyo japo wengine hatutapitia process zote hizo
 
Sijui kwa nini nimepitia hapa...
 
Aiseee. .

Aliyeweka na picha asante...

Ila nadhani wanatakiwa kutumia gloves bana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…