Hata mimi leo ndio nimehakikisha.du dunia ina mengi hii.pole yao.mmmh process yote hii halaf anaendazikwa mavumbini.kisha anuke na kuoza so soon.Ilikuwa inasemekana, sasa nimeanza kuamini yakuwa huwa mnamkamua marehemu kinyesi
D.A "Mwanaume mashine"
Dhehebu gani linaloosha maiti kisenge namna hii? Quran na biblia zimekataza.Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa:
1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo.
2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti.
3. Maiti afunikwe na shuka kubwa iliyonyepesi kiasi cha kuruhusu maji kupita.
4. Maiti ikalishwe kitako na makalio yake yaelekee kwenye tobo la kitanda.
5. Muoshaji apitishe mkono wake wa kushoto juu ya tumbo la maiti aliminyeminye kwa taratibu ili kutoa uchafu
6. Alazwe chali na aminyeminye tumbo lake kama hapo awali.
7. Aikalishe tena kisha apitishe mkono wa kushoto chini ukiwa umevalishwa kitambaa au gloves asafishe tupu mbili huku akijimiminia maji mkono wa kulia.
8. Ampigishe mswaki kwa kitambaa kilaini kilicho viringishwa kwenye kidole cha shahada cha mkono wa kushoto, akichove majini kisha amswakishe maiti vizuri meno ya juu na ya chini kisha akitupe ufuoni.
9. Azungushe kitambaa kingine kwenye kidole kidogo cha mkono wa kushoto, akichove majini, kisha amsafishe nacho tundu za pua kisha akitupe ufuoni.
10. Achukue kijiti laini achokonoe kucha zake, iwapo ni ndefu na chafu.
11. Akiwa pia kamkalisha maiti amtawadhishe maiti kwa kufuata utaratibu wa kawaida wa kutawadha.
12. Kumuosha kichwa kwa sabuni.
13. Kisha kumuosha kwa ubavu wa kulia kwa kumiminia maji mbele na nyuma.
14. Kisha hivyo hivyo na ubavu wa kushoto.
15. Baada ya makosho hayo mawili la maji na sabuni na kuondoa sabuni, pawe na kosho la tatu la maji yaliyowekwa karafuu maiti na marashi kidogo.
16. Baada ya makosho haya matatu, muoshaji anyooshe viungo vya maiti na kumlaza sawa sawa kama alivyolazwa mara ya kwanza baada ya kufa. Kisha achukue nguo kavu na kumfuta maiti tayari kwa kivishwa sanda.
HahahahaHakuna andiko katika Quran linasema maiti akamuliwe kinyesi. Huo ni upotoshaji na upumbafu.......
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haoshwi mtu hapa kudadekii...!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh..! hata kale kajamaa kenye avatar ya mtoto aliyebemendwa kanakokuwaga kakwanza kukoment kila uzi leo hakajatia neno hapa ujue huu uzi ni balaa.
Allah akulipe nduguIli maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa:
1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo.
2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti.
3. Maiti afunikwe na shuka kubwa iliyonyepesi kiasi cha kuruhusu maji kupita.
4. Maiti ikalishwe kitako na makalio yake yaelekee kwenye tobo la kitanda.
5. Muoshaji apitishe mkono wake wa kushoto juu ya tumbo la maiti aliminyeminye kwa taratibu ili kutoa uchafu
6. Alazwe chali na aminyeminye tumbo lake kama hapo awali.
7. Aikalishe tena kisha apitishe mkono wa kushoto chini ukiwa umevalishwa kitambaa au gloves asafishe tupu mbili huku akijimiminia maji mkono wa kulia.
8. Ampigishe mswaki kwa kitambaa kilaini kilicho viringishwa kwenye kidole cha shahada cha mkono wa kushoto, akichove majini kisha amswakishe maiti vizuri meno ya juu na ya chini kisha akitupe ufuoni.
9. Azungushe kitambaa kingine kwenye kidole kidogo cha mkono wa kushoto, akichove majini, kisha amsafishe nacho tundu za pua kisha akitupe ufuoni.
10. Achukue kijiti laini achokonoe kucha zake, iwapo ni ndefu na chafu.
11. Akiwa pia kamkalisha maiti amtawadhishe maiti kwa kufuata utaratibu wa kawaida wa kutawadha.
12. Kumuosha kichwa kwa sabuni.
13. Kisha kumuosha kwa ubavu wa kulia kwa kumiminia maji mbele na nyuma.
14. Kisha hivyo hivyo na ubavu wa kushoto.
15. Baada ya makosho hayo mawili la maji na sabuni na kuondoa sabuni, pawe na kosho la tatu la maji yaliyowekwa karafuu maiti na marashi kidogo.
16. Baada ya makosho haya matatu, muoshaji anyooshe viungo vya maiti na kumlaza sawa sawa kama alivyolazwa mara ya kwanza baada ya kufa. Kisha achukue nguo kavu na kumfuta maiti tayari kwa kivishwa sanda.
Hakuna yanayotokea kaburini boss,achana na hofu of unknown. Waogope wasiojulikana Tanzania make wanaweza kukutoa roho.Hakika ni vyema kujiandaa kama kuoshwa twaogopa je tungeliyajua yale yanayotokea kaburini ingekuaje? Mwenyezi tufanye tuwe waja wema In Sha Allah
Haoshwi mtu hapa kudadekii...!
yaan process zimekuwa ni conservative hazijaangalia variable 2 ambazo very importantKatika ukimwengu uliojaa maradhi kama wetu sijyi inakuwaje kwa huo utaratibu hasa hiyo ya kumswakisha marehemu kwa kidole tu chenye kitambaa laini. Kuna hatari ya kuambukizana maradhi mwanzo mwisho. Anyway sisi wote tunaoita na njia yetu sote ndiyo hiyo japo wengine hatutapitia process zote hizo
kuosha maiti kuna imani kuuumbe.... ina maaana kuna wengine ambao wanazika hata na mavi....[emoji15] [emoji15]Mkuu ungesema huyo maiti ni wa imani ipi maana sidhani kama imani zote zinapaswa kufanya hayo