Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahivi ndo nimezidi kubangukaaa, juzi nilimtumia text mtu had anasema ulichobakiza ni kuokota makopoo na kutembea uchi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe akilizako mbili kasoroπŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbona ndoa nyingi zinavunjika humu tatizo nini?? Itakuwa umerogwa mdogoangu!!
We shem Mjep talaka yetu tuifate wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas, woiiiiiih
 
Shida ukijichanganya ukaoa hawapiki vzr kama picha inavoonesha
Hahaha, hii umeiweka kiutana ila ndio uhalisia wenyewe. Utakuta mwanzoni kila pishi linazingatiwa haswa ila mkizoeana sasa, hakuna kuunga tena, mafuta yanawekwa juu ya mboga vitunguu na nyanya kwa juu halafu ngoma inafunikwa.

Dawa yake ni kupita sehemu kabla haujarudi home.πŸ˜‚
 
Ukiuliza unaaambiwa ooh mchemsho
Mchemsho wakat dagaa wanaelea elea kama wako ziwaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niliwahi mpikia mwanamke wangu chakula siku yapili akaondoka bila kuaga jioni jioni ananitumia msg kuwa mwanaume gani unajuwa kupika😁😁😁
 
Mbn ukipika ata km ulivosema vinaiva fresh sema madem wengi kupika..... zero.. wengn wanaharakisha kuwah kuchat n.k
 
Niliwahi mpikia mwanamke wangu chakula siku yapili akaondoka bila kuaga jioni jioni ananitumia msg kuwa mwanaume gani unajuwa kupika[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwanamk km hajui kupika aseeh, ntamwelkza maake sipend chakula kibaya, hakijaiva, hakijaungwa, kwa ufupii maakul awe vzr,
 
Niliwahi mpikia mwanamke wangu chakula siku yapili akaondoka bila kuaga jioni jioni ananitumia msg kuwa mwanaume gani unajuwa kupika😁😁😁
πŸ˜‚πŸ˜‚Hata mm sitaki
Nina nduguyangu nimemfunika chapat za kusukuma,maandaz na pilau labda llkn vingine ni balaa mwanaume yule anapika had wali Nazi kha πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikuhiz kaoa mkewe anapika Kwa waiwasi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…