Asante sanaNjia rahisi ya kupika maharagwe pasi garama kubwa.
Nunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi. Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe. Zoezi hili...www.jamiiforums.com
Ni kweli 100 100
Mkuu mm mwenyewe mdau Mzuri, niliweka order Kabisa kwa dada moja, hvyo ninapotoka job napitia naenda Unga mwenyew less costful and time saving
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo kwenye jiko nifafanulie plZzzzNunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi.
Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe.
Zoezi hili lifanyike masaa 5-8 kabla ya muda unaotaka kuyaunga, njia hii niliitumia sana miaka ya ubachera nikiwa na jiko la mchina lile la mafuta, ambalo likiingiza hewa linalipuka.
Maharage ni protein mkuu wanguKula wali /ugali maharagwe ni sawa na kula wanga + wanga
Hapo mlo unakuwa haujakamilika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio yatafubaa kweli?Chemsha maji weka kwenye thermos weka maharage yako, yaache kwa masaa 9-12, yatoe yabandike kwenye jiko la gas..Hayachukui muda.
Jee nikiweka kwenye hiyo chupa more than 6 hours kuna shida?vp nikiloweka toka jana yake nije tena kuyaweka kwenye thermos kwa hizo 5 five hours then nikachemsha?Nunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi.
Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe.
Zoezi hili lifanyike masaa 5-8 kabla ya muda unaotaka kuyaunga, njia hii niliitumia sana miaka ya ubachera nikiwa na jiko la mchina lile la mafuta, ambalo likiingiza hewa linalipuka.
Bachelor sio undergraduate?Nilipokuwa Bachelor, hivi sasa ni undergraduate, [emoji1787]
Maharage na nyama ni sawa tuu mbona.Kula wali /ugali maharagwe ni sawa na kula wanga + wanga
Hapo mlo unakuwa haujakamilika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Thermos inamaliza umeme?Hhm!! Sasa si bora uyapike kawaida.
Kwanza hizo thermos zinamaliza umeme tu.
Nunua thermos zile kubwa za lita 2.5 au zaidi but siyo lazima ila thermos kubwa inakuwasaidia kwa mambo mengi.
Ukiwa umeshanunua maharagwe yako na kuyasafisha, chemsha maji kulingana na maharagwe yako, maji yakichemka nyuzi joto zinazotakiwa mimina kwenye thermos na yale maharagwe.
Zoezi hili lifanyike masaa 5-8 kabla ya muda unaotaka kuyaunga, njia hii niliitumia sana miaka ya ubachera nikiwa na jiko la mchina lile la mafuta, ambalo likiingiza hewa linalipuka.
Ufafanuzi mzuri.Hivi unajua kutumia gas ni cheaper kuliko mkaa?
Ule mtungi mdogo kuujaza ni 19,000 ambayo kwa matumizi ya rough inamaliza mwezi na matumizi ya kistaarabu ni zaidi ya mwezi. Ambapo ukisema ujiachie tu kwa huo mwezi mmoja utakuwa unatumia gas ya approximately 640 kwa siku. Kwa nnavyoonaga watu wanaotumia mkaa, sidhani kama mkaa wa 1,000 unatosha matumizi ya siku nzima.
So ukipiga mahesabu utagundua kwamba matumizi ya mkaa ni gharama sana.Bila kusahau gas inakuokolea muda wa kuanza kuwasha mkaa na kusubiria mpaka ushike moto pia utachangia kutunza mazingira japo kidogo.
Ushauri wangu.....achana na mkaa hamia kwenye gas.
Na mbinu za kuivisha maharage kwa haraka bila kutumia moto mwingi umeshapewa za kutosha ila niongezee tu kuwa ukienda sokoni utakutana na maharage mabichi na yenyewe hayachukui muda mrefu kuiva.
π Umesoma mpaka mwisho wa mada au umejibu kulingana na heading but nilipoandika, "...kipindi cha ubachera nimetumia njia hii" wewe umeelewa nini?Umeishawahi jaribu, maana kama inafanyakazi wengi wangeitumia
Kweli awamu hii imeleta vingi, kuna hadi thermos za umeme!Hhm!! Sasa si bora uyapike kawaida.
Kwanza hizo thermos zinamaliza umeme tu.
Wameni-edit wakuu sio mimiThermos inamaliza umeme?
Au me ndio sijaelewa? Kwani anazungumzia heater?
Ni wivu tuKweli awamu hii imeleta vingi, kuna hadi thermos za umeme!
HayafubaiSio yatafubaa kweli?
Mkuu ni chupa ya chaiiHhm!! Sasa si bora uyapike kawaida.
Kwanza hizo thermos zinamaliza umeme tu.
(A) Jee nikiweka kwenye hiyo chupa more than 6 hours kuna shida?
(B) vp nikiloweka toka jana yake nije tena kuyaweka kwenye thermos kwa hizo 5 five hours then nikachemsha?
mie pia nimeshtuka imenibidi niende kuchungulia jukwaa la technology labda kuna mapya.Thermos inamaliza umeme?
Au me ndio sijaelewa? Kwani anazungumzia heater?