Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 2,468
- 2,905
Uko sahihi kabisa, swali ,Kwahiyo Rais alipowaomba wajiandae na uchaguzi hajui kwamba Kuna POLISI???Na hiyo ni kazi ya msingi ya JWTZ?
Duh! Ulifundishwa na nani kuwa JWTZ inahusika moja kwa moja na ulinzi wa raia ndani ya nchi?
Mnalaumu badala ya kukosoa hata sheria zilivyo.
Pumbaf! Ndo akili zao.zimeishia hukusoon watazindua sheli pale maji chumvi..kutoka kwenye miradi ya frame za biashara hadi kituo cha kuuza mafuta.
Kulaza magariWee jamaa akili huna...Tunaona kabisa miradi ya JW ambavo inatia aibu.
Eti wanapangisha frame, wanazoa taka, wanapiga tofali, wanapasua Kokoto.
Jaman jaman hii Aibu itaisha lini
Wataona hapaSijui tunawezaje kuwafikishia haya mawazo Hawa Jama.
Mana nahisi ni muhim wakaona post Kama hizi Ila SIDHANI Kama wanatumia JF.
Aiseee๐๐ญ๐ญ!!View attachment 3324842Sasa kama darubini tu waziri wa ulinzi kutumia ni kipengele unategemea nini?
Kuna wakati CCM ilikuwa makini. Nyumbu (magari) yalitengenezwa na wanajeshi hao hao; na mambo mengine kadhaa ya muhimu sana kwa nchi hii.Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Huenda kuna nyingine zaidi ya hii?Mmeona CV yake msimlaumu buree.
Viwanda Vyote Vipo Ila Sasa Unaposikia Ubongo Kids Wanaimba 0 Nini ? Wanajibu Maana Yake Hakuna KituKwanini kile kiwanda cha kutengeneza magari chapa NYUMBU pale Kibaha kilichoanzishwaga na Nyerere kikiwa chini ya JWTZ hawahawa kimeishiaga wapi...?
Kipo au nacho kwishinei kilishafisadiwa na ma - CCM na kukimaliza kabisa..?
Aidha pale pale Kibaha kulikuwa na kiwanda kingine pia kilichokuwa kina - assemble magari aina ya SCANIA kikijulikana kama Tanzania Automobile Manufacturer Company LTD (TAMCO), nacho kiliishiaga wapi..?
Kipo au au nacho kwa sbb ya sera mbovu za CCM, kimekwishinei kwa kufisadiwa na hawa nzi wa kijani kukimaliza..?
Siku Ya Kufa Nyani......Kweli utawala wa ccm unaelekea ukingoni, yani mpaka akina nangu lipwida na wenyewe sikuizi wamekua wana harakati!!.
Dodoma Tayari Wanauzasoon watazindua sheli pale maji chumvi..kutoka kwenye miradi ya frame za biashara hadi kituo cha kuuza mafuta.
Mbona hata sie ipo ya SumaJKTMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa๐
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa๐
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Hawana huo uwezoJWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Kuna wakati CCM ilikuwa makini. Nyumbu (magari) yalitengenezwa na wanajeshi hao hao; na mambo mengine kadhaa ya muhimu sana kwa nchi hii.
Ni busara kuwa tunatenganisha CCM hizi ambazo ni tofauti sana.
Ninacho kubaliana na wewe kwa asili mia mia moja. Hii CCM ya sasa ni bure kabisa, ni hasara kubwa kwa nchi hii. Kama hatutaweza kuiondoa au kuibadili haraka, nchi hii itageuka na kuwa ya kuonea aibu kubwa.
Naona hapa utakuwa umempa wazo mama; kesho au keshokutwa utasikia Kafulila amewapata wawekezaji wa mradi huo.
Rais huyu haamini kamwe, kwamba kuna jambo linaloweza kufanywa na waTanzania wenyewe; hasa na taasisi kama hizi za jeshi. Ni ajabu kuwa hajawahi kusikia wachina wanavyofanya mambo kama haya, na sasa Ethiopia nao wanathubutu.
Nchi za kiafrika zitakazo pata maendeleo ya haraka ni zile zenye uthubutu, na kujiamini kuwa wanaweza kufanya jambo, na wakajipanga kweli kukifanya.
Tanzania tulishawahi sana kuwa na uthubutu. Kawaulize wale wazee wa TRC, waliokuwa wakifufua mabehewa ya reli enzi zao.
Hasara ya kuwa na viongozi kama Samia tutaijutia sana.
๐Nacheka huku naogopa ๐๐
Jeshi letu linafanya vitu kimya kimya sio lazima litangaze.Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa๐
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa๐
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!