Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kama ni kitu ulichosomea,basi weye ni mleta migogoro.Huna unalo lijua masikini ya mungu...
Hilo ndio naweza sema kwako... pambana ufahamu matumizi ya setbacks....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kitu ulichosomea,basi weye ni mleta migogoro.Huna unalo lijua masikini ya mungu...
Hilo ndio naweza sema kwako... pambana ufahamu matumizi ya setbacks....
Yawezekana hatujaelewana places!Siku njema Kate.Lazma uunge ndio
Master plan inaonyesha kichochoro?
Kama hamna we unaitoa wapi?
Usikimbikie KakaYawezekana hatujaelewana places!Siku njema Kate.
Ni siku hizi ama tangu zamani ramani ifuatwe?Nenda kaulize ofisi za ardhi.
Nilivyosikia ni kwamba, siku hizi inaruhusiwa kujenga fensi katikati ya mpaka, hakuna kuacha uchochoro mana uchochoro unatumiwa na vibaka.
Hapo kakurahisishia mana utakuja kuunganisha kwenye ukuta wake, na mpaka utabaki kwenye ramani kama kawaida hata kama hauonekani hapo ardhini.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni kwamba,ramani itatazamwa.Bikoni za kila mmoja zilipo.Baada ya taratibu za ujenzi kufanyika,mjenzi ataamua anajenga kipi kwanza.Kwa kisheria,hutakiwi kujenga usawa kabisa wa bikoni.Unatakiwa urudi ndani mita moja na nusu ndipo ujenge.Nyumba hazitakiwi kuungana.Huwa tunajenga kwa mazoea.Kwa nini nyumba zisiungane?Usikimbikie Kaka
Tuelimishe
Labda mi ndo nakosea
Uko sahihi 100% hata mm nina jirani mchaga uwezi amini kwenye ukuta wazio kaja kajenga nyumba na maji bati linamwagia kwangu, nimemfata nimemwambia bomoa ufate sheria za ujenzi alafu ni kijana kbs ila ameanza leta ujirani wa kisenge hiviJirani yetu ni mchaga naye alitufanyiaga mambo meusi kama haya, sina chuki na kabila lolote ila maeneo mengi ukipakana kiwanja na mchaga kuwa macho
Upotoshaji huu. Nenda posta, oysterbay, masaki, upanga na maeneo mengine ya vigogo kama utakuta vichochoro. Nyumba zimejengwa kwa ramani, viwanja vimepwimwa na hutakuta vichochoro.Hapana.Kuacha nafasi kati ya nyumba ya kiwanja kimoja na kiwanja kingine ni lazima kisheria za ujenzi.Na kuna vipimo vyake.Kila mmoja ataacha mita moja na nusu kutoka katika jiwe/bikoni yake.Akileta ubishi atabanwa kwa kuombwa yafuatayo kisheria za mipangomiji/halmashauri;-
1-Uhalali wa umiliki eneo(nyaraka halali),
2-kibali cha ujenzi kinachoenenda na muda(expire date)
3-Na kama amehamia/nyumba ipo,ataombwa leseni/kibali/ruhusa ya kisheria ya kuishi hapo,
4-Hana hivyo vitu;a,atapigwa faini kimojakimoja-b,atasimamishwa ujenzi-c,atavunja ukuta kwa muda atakaopewa kwa gharama zake-d,atapewa onyo kali aache ungedere.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmbishi huyo...Usikimbikie Kaka
Tuelimishe
Labda mi ndo nakosea
Rudi darasani tuna aina kazaa za nyumbaNi kwamba,ramani itatazamwa.Bikoni za kila mmoja zilipo.Baada ya taratibu za ujenzi kufanyika,mjenzi ataamua anajenga kipi kwanza.Kwa kisheria,hutakiwi kujenga usawa kabisa wa bikoni.Unatakiwa urudi ndani mita moja na nusu ndipo ujenge.Nyumba hazitakiwi kuungana.Huwa tunajenga kwa mazoea.Kwa nini nyumba zisiungane?
-Kutenganisha,kutambulisha mipaka na kuacha eneo la huduma za kijamii km maji,nguzo za umeme au simu,
-kuweka usalama kati ya nyumba na nyumba yatokeapo majanga kama moto,mafuriko n.k.
Hivyo basi,ujenzi unaotakiwa ni huo na wala si ule wa mazoea.Na ndiyo maana basi,kuna maeneo ya mikoa inapata tabu sana kwa ujenzi wa kitozingatia uachaji nafasi.
NB:Hiyo haijalishi ukubwa au udogo wa kiwanja.Ndiyo maana hata mh.waziri alituasa kutonunua viwanja vya 20×20 na/au visipimwe kitaalamu kabisa.Kwa kiasi kikubwa nimerudia yaleyale ya mwanzo.Sahihisha unapoona nimekwama.🙏🙏🙏🙏😂
Moisemusajiografii kila mtu a kubaliani na weweUpotoshaji huu. Nenda posta, oysterbay, masaki, upanga na maeneo mengine ya vigogo kama utakuta vichochoro. Nyumba zimejengwa kwa ramani, viwanja vimepwimwa na hutakuta vichochoro.
Uchochoro au vichochoro ni ujenzi wa kimaskini tu.
Tunazungumzia ukuta/fence sieNi kwamba,ramani itatazamwa.Bikoni za kila mmoja zilipo.Baada ya taratibu za ujenzi kufanyika,mjenzi ataamua anajenga kipi kwanza.Kwa kisheria,hutakiwi kujenga usawa kabisa wa bikoni.Unatakiwa urudi ndani mita moja na nusu ndipo ujenge.Nyumba hazitakiwi kuungana.Huwa tunajenga kwa mazoea.Kwa nini nyumba zisiungane?
-Kutenganisha,kutambulisha mipaka na kuacha eneo la huduma za kijamii km maji,nguzo za umeme au simu,
-kuweka usalama kati ya nyumba na nyumba yatokeapo majanga kama moto,mafuriko n.k.
Hivyo basi,ujenzi unaotakiwa ni huo na wala si ule wa mazoea.Na ndiyo maana basi,kuna maeneo ya mikoa inapata tabu sana kwa ujenzi wa kitozingatia uachaji nafasi.
NB:Hiyo haijalishi ukubwa au udogo wa kiwanja.Ndiyo maana hata mh.waziri alituasa kutonunua viwanja vya 20×20 na/au visipimwe kitaalamu kabisa.Kwa kiasi kikubwa nimerudia yaleyale ya mwanzo.Sahihisha unapoona nimekwama.🙏🙏🙏🙏😂
😂😂😂Inategemea ramani ya eneo inaelekezaje.Naamini sasa tulikuwa mashariki na magharibi.Tunazungumzia ukuta/fence sie
Muda wote unajadili nyumba yenyewe ehh hii nchi jmn
Kuna uchochoro baina ya fences?
Bado upo kulekule.Inategemea mchoro wa ugawaji viwanja na aina ya ujenzi unaotakiwa.Kumbuka:Jamaa wapo squatter area.Usiwe mwepesi wa kufikia mwisho ukaacha kiini.Rudi darasani tuna aina kazaa za nyumba
1. Raw houses
2. Detached
3. Semi detached
4. Flats
5. Maisonattes
6. Etc
Hivyo tuna weza jenga nyumba zilizo shikana kwa kulingana na aina za nyumba
Waziri na wewe mfate maneno ya wataalam na yaliyopo ktk zile act
Itafute elimu ikusaidie Wewe na wanao kuzunguka
Upotoshaji huu. Nenda posta, oysterbay, masaki, upanga na maeneo mengine ya vigogo kama utakuta vichochoro. Nyumba zimejengwa kwa ramani, viwanja vimepwimwa na hutakuta vichochoro.
Uchochoro au vichochoro ni ujenzi wa kimaskini tu.
Umeelewa eneo linaloelezewa katika uzi au umewaza kununua miguu ya kuku wa kisasa Masaki?Upotoshaji huu. Nenda posta, oysterbay, masaki, upanga na maeneo mengine ya vigogo kama utakuta vichochoro. Nyumba zimejengwa kwa ramani, viwanja vimepwimwa na hutakuta vichochoro.
Uchochoro au vichochoro ni ujenzi wa kimaskini tu.