Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Samia na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.
Hizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.Long live samia Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.
Miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama QatarHizi maktaba alizojenga Rais Samia viunga vya udsm si mchezo nimejaribu kufanya Uchaguzi wa muda mfupi sioni maktaba bora kama hizi kwa bara la Africa.
Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera SamiaMiaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati miaka mitano ijayo, Rais Samia atatufanya tuwe kama Qatar
Utafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% CCM inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na CCM.Kama Rais Samia ameweza kutupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu basi haitachukua muda kumfikia USA Hongera Samia
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanunueUtafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa katiAsante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune
Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwaUtafiti umefanyika Samia anakubalika kwa zaidi ya 90% Ccm inakubalika kwa 70% Hii unamaanisha kuwa Rais Samia kwa uchapakazi wake amevuta watu wengi sana kujiunga na Ccm.
Samia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa AfricaSamia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa
Rais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanyaSamia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa Africa
That's why President Samia was declared hero of the worldRais Samia anafanya vitu vikubwa sana ambavyo chadema na ACT ya Zitto kamwe wasingeweza kuvifanya
Samia Mungu amlinde kwa maana anagusa maisha ya watu wanyongeThat's why Presdent Samia was declared hero of the world
Samia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025Samia Mungu amlinde kwa maana anagusa maisha ya watu wanyonge
Niliwahi kumfuata mke wa rafiki yangu na kumwambia aache tabia ya kuchepuka, ni kjmdhalilisha mumewe na yeye mwenyewe. Alinijibu "yanakuhusu nini? Au na wewe unanitaka? Kamwambie basi mume wangu kama unajiona unahuruma sana.Wao wakichepuka wewe rafiki inakuhusu nini? Kwani ukikaa kimya bila kutoa siri utakufa?
Ulifanya jambo la busara sana kumfuata na kumshauri kuliko ungemwambia mumewe. Kama waliachana ni kheri kwao wote wawili kuliko kuja kuuana huko mbeleni.Niliwahi kumfuata mke wa rafiki yangu na kumwambia aache tabia ya kuchepuka, ni kjmdhalilisha mumewe na yeye mwenyewe. Alinijibu "yanakuhusu nini? Au na wewe unanitaka? Kamwambie basi mume wangu kama unajiona unahuruma sana.
Nilimwomba radhi na kukaa kimya. Tayari kabeba mimba ya mchepuko.
Miaka ilipita, tabia kama ngozi, ikaonekana. Mume alinitaka ushauri. Nilishindwa kushauri zaidi ya kumwambia avumilie huenda atabadilika. Hakubadilika licha ya mume kumsihi aache.
Hatimaye mume alinyoosha mikono. Ndoa ikafika mwisho.
Naamini sikuwa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya rafiki yangu.
Noma sana aseeHabari zenu waungwana wa humu JamiiForums.
Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika.
Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako?
Hizi ndoa zina changamoto nyingi sana mzee babaNoma sana asee
CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa.Samia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetuSamia ndio jembe mchapa kazi bora na huyu mama nitampa kura yangu 2025