Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Karibu mtoni kwa Aziz Ally mimi ndio ninakaa hapaUnakaa Mbagala sehemu gani unaweza ukawa ni jirani yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mtoni kwa Aziz Ally mimi ndio ninakaa hapaUnakaa Mbagala sehemu gani unaweza ukawa ni jirani yangu.
Huyo Aziz Ally zamani alikuwa mkuu wa Polisi TanzaniaKaribu mtoni kwa Aziz Ally mimi ndio ninakaa hapa
Hizi ndoa ni shiiiiida chiefHalf-life ya ndoa ni miaka mitano. Baada ya hapo moto unaanza kuwaka.
Ngoja niendelee kujiuliza.Hizi ndoa ni shiiiiida chief
Ndoa za vijana wa siku hizi zinasikitisha sanaHalf-life ya ndoa ni miaka mitano. Baada ya hapo moto unaanza kuwaka.
Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums.
Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika.
Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako?
Kama ndoa inavunjika kisha mke na mume wanatengana, basi waachane kwa sababu zao wenyewe na sio kwa kuwa kuna mkono wako wewe rafiki. It's not fair at all. Ninarudia tena sio sahihi kabisa.
Nyie vijana mliozaliwa juzi juzi, kuna msemo mmoja wakongwe waliwahi kusema ya kwamba, wapiganapo mafahari wawili siku zote zinazoumia ni nyasi. The same applies to the marriage. Once couple break up, it's the kids who suffer the most.
Jenga picha upo Kariakoo katika shughuli zako alafu unakutana na mtoto wa rafiki yako ambaye kwao walikuwa na hali nzuri tu ya kimaisha ila sasa anauza maji ya chupa yale ya 500 kwa sababu alishindwa kuendelea na kidato cha pili kwa sababu baba na mama waliachana kwa umbea ambao wewe uliupeleka.
Unapeleka umbea unaojua fika kwamba utavunja ndoa za watu wa sababu gani? Kwanini unakuwa na roho ya ibilisi namna hiyo? Au kwa kuwa rafiki yako anafanya kazi Bank fulani kubwa kama Mkurugenzi hivyo unahisi ukimpa habari ya kuwa mkewe anachepuka ndio atakupenda sana na kukusaidia kupata kazi?
Au unahisi kwa kumwambia rafiki yako kuwa mkewe ameshika mimba ambayo yeye rafiki yako sio "biological father" ndio atakupenda sana na kukununulia beers mbili tatu kila weekend? Yaaani unavunja ndoa ya watu kisa beers? Kwani ungekaa kimya ungepata hasara gani?
Kama imeandikwa kuwa utapata kazi nzuri basi Mungu atakupa tu siku yako ikifika na sio kuingilia ndoa za watu kisha kuwaweka watoto katika mateso ambayo hayakustahili. Kwani kama suala ni beers, usipokunywa utakufa?
Mbona kuna watu hawanywi beers na bado wanaishi maisha mazuri sana. Basi hata kama unataka Beers kwanini usinunue kwa pesa zako mpaka unaleta ugomvi ndani ya familia za watu wengine?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Wewe hata mtoto wa kusingiziwa hauna. Hujui lolote kuhusu hizi ndoa.Hizi ndoa ni shiiiiida chief
Sio mitano ni mitatu tuHalf-life ya ndoa ni miaka mitano. Baada ya hapo moto unaanza kuwaka.
Hee kumbe ni mitatu siku hizi ? Ngoja ni update files zangu.Sio mitano ni mitatu tu
Hata kama ni baada ya miaka 10 siku moja moto lazima tu utawakaSio mitano ni mitatu tu
Ndoa zimekuwa ndoani waliimba Msondo NgomaNgoja niendelee kujiuliza.
Kuna wakati ninatamani hata kuachana na huyu mume wangu wa sasaSio mitano ni mitatu tu
Ambao hawajaoa wanatamani kuingia hukoHizi ndoa ni shiiiiida chief
Siku hizi sikuoni kabisa jukwaa la siasaHee kumbe ni mitatu siku hizi ? Ngoja ni update files zangu.
Siasa za bongo mtihani sana. Zinaumiza vichwa na kuongeza hasira.Siku hizi sikuoni kabisa jukwaa la siasa
Eti vijana wa siku hizi. Kwa hiyo wewe ni mzee wa kale?Ndoa za vijana wa siku hizi zinasikitisha sana
Wewe unaje? Yupo wapi? Alafu toa hiyo avatar picha ya mwalimu Nyerere.Wewe hata mtoto wa kusingiziwa hauna. Hujui lolote kuhusu hizi ndoa.
Katika avatar yako huyo jamaa aliandika kitabu cha GIFTED HANDSHee kumbe ni mitatu siku hizi ? Ngoja ni update files zangu.
Pia kaandika kingine kinaitwa THINK BIGKatika avatar yako huyo jamaa aliandika kitabu cha GIFTED HANDS