Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Siwapendi kabisa hawa. Wanafurahia JPM kufa.
Yeye alieuwa wenzake kwanini wasifurahie?

Wangapi wamepotea wangapi wameokotwa kwenye mifuko wangapi wamepigwa na kufungwa?

Yule alikua shetani hakuna cha uchadema na uccm tuzungumze uhalisia yule alikua shetani kwemye kivuli cha uzalendo

Mungu nae hakawii hapendi kumuona mtu anajifanya ni Mungu haoa duniani kua na mamlaka ya uhai wa watu
 
Marehemu anapaswa kusamehewa. Acha roho mbaya wee jamaa wee
 
Hayo maneno unnayoandika mwisho wa Andiko lako yanan'chefua hasa nikikumbuka Last King of Scotland alivyotuhimiza alafu ikafuatia ile ripoti ya mkaguzi nachoka kabisa.

Turudi kwenye mada mtu yoyote anayekuambia kwamba mke wako au mme wako anafanya maasi nje ya ndoa yako usimpuuze jambo lolote unaloambiwa na mtu ni Kengele ya hadhari kuchunguza na kuniridhisha kama yanayoelezwa ni kweli na kweli tupu au maneno ya Kuvuruga jambo lako.

Hakikisha unachukua hatua sahihi kushughulikia tatizo lililopo kwa misingi ya kulinda hishma na utu wa Mtoa taarifa na pengine mlengwa na watoto waliopo ili kwamba kwa wakati yanapofikia mahali utengano unatakiwa uchukue nafasi yake iwe kwa talaka au vyovyote asiwepo mtu atakayeumia katika huo mchakato.
Ni hayo tu.
 
Hayo maneno unnayoandika mwisho wa Andiko lako yanan'chefua hasa nikikumbuka Last King of Scotland alivyotuhimiza alafu ikafuatia ile ripoti ya mkaguzi nachoka kabisa.
Pole sana mkuu kama yanakuchefua. Ninaomba uniwie radhi. Last King wa Scotland alisemaje kwani mzee baba?...
 
Kaswali kadogo ! Bwana ametulia kwenye ndoa ila mke anachepuka na watu wa ajabu , nimwambie bwana au niache ? Nikiacha akamletea bwana kifo nami najua hiyo issue itakuwaje !
Ugonjwa unaua taratibu tofauti na umbea wako wewe rafiki unaoua ndoa haraka.
 
Yeye alieuwa wenzake kwanini wasifurahie?

Wangapi wamepotea wangapi wameokotwa kwenye mifuko wangapi wamepigwa na kufungwa?

Yule alikua shetani hakuna cha uchadema na uccm tuzungumze uhalisia yule alikua shetani kwemye kivuli cha uzalendo

Mungu nae hakawii hapendi kumuona mtu anajifanya ni Mungu haoa duniani kua na mamlaka ya uhai wa watu
Huko CHADEMA mnafundishwa roho za visasi tu ndio maana hamkui akili zikakomaa.
 
Hakuna anaependa kuachana ila inapobidi basi acha waachane
Maumivu ya moyo achana nayo mkuu
 
Back
Top Bottom