Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Ninapenda sana facts zako SojaUKIMWI unaua taratibu lakini maneno yako ya umbea yataua haraka ndoa ya rafiki yako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninapenda sana facts zako SojaUKIMWI unaua taratibu lakini maneno yako ya umbea yataua haraka ndoa ya rafiki yako...
Ushauri poa sana huu
Mimi nina ndoa mwaka wa 8 huuNdoa baada ya miaka 2 ni maigizo tu.
Mbona bado unaonekana kama vile ni mama's boy?Mimi nina ndoa mwaka wa 8 huu
ThanksUshauri poa sana huu
Kama unampenda sana kwanini usimpe ile kitu roho inapenda.Ninapenda sana facts zako Soja
Well saidNi laana kubwa
Hahaaa kitu gani mkuu?Kama unampenda sana kwanini usimpe ile kitu roho inapenda
Kitu cha kiutu uzima mzee mamaHahaaa kitu gani mkuu?
NdioNi laana kubwa
Ibaki maigizo kwa drama zao wao wenyewe, sio wewe na dhiki zako uingize uchawa kwenye ndoa ya watu.Ndoa baada ya miaka 2 ni maigizo tu.
Hahahahaaaaa safi sana mkuu. Walipendana wenyewe, sasa waachwe watengane wenyewe.ibaki maigizo kwa drama zao wao wenyewe, sio wewe na dhiki zako uingize uchawa kwenye ndoa ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Goodibaki maigizo kwa drama zao wao wenyewe, sio wewe na dhiki zako uingize uchawa kwenye ndoa ya watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake hakuna haja ya kuwaingiliaHahahahaaaaa safi sana mkuu. Walipendana wenyewe, sasa waachwe watengane wenyewe.
Bado hajakuelewa mpaka sasa. Mtoto huyoKitu cha kiutu uzima mzee mama
Anataka msambwanda huyoooooHahaaa kitu gani mkuu?
Vp kuhusu ule mchongo wako? Ulifanikiwa?Well said
Mbona unapenda sana kuandika kwa kutumia codes?Vp kuhusu ule mchongo wako? Ulifanikiwa?
Oohoooo msambwanda ndio nini tena? Vijana mna mambo teh teh tehAnataka msambwanda huyooooo