Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

We unaongelea marafiki!, wenzako mabraza, masista, mafadha na mamaza ndo wko mstari wa mbele kuua ndoa za watoto wao au ndugu zao bila kujali madhara ya baadae. Libraza kabisa na limwili lake ka jumba linatumwa na fadhae kumchukua sister ake kwake kisa eta amepigwa na mmewe
 
Mkuu, ulifanya uamuzi wa maana sana wa kutokuvunja ndoa ya uncle wako la sivyo laana ya hao watoto ingekuandama mpaka kufa kwako.
Yani hadi na wao walishaanza kumchukia baba yao kutokana na vile mama yao anavyolalamika... Baadae nao wakaanza kuntenga maana maza aliwajaza sumu kwahiyo wakawa wananiona snitch
 
Back
Top Bottom