Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

Kwani ndoa kuvunjika nini cha ajabu???

Wewe ndo utakuwa wa kwanza au

Sasa mtu aishi na limalaya ndani kisa nini yaani.
Kama huyo mke/mume ni ****** kama ulivyomuita hapo juu, si wamependana wenyewe. Sasa wewe inakuhusu nini?...
 
Sio lazima uandike..

Kwani ndoa kuvunjika nini cha ajabu???

Wewe ndo utakuwa wa kwanza au

Sasa mtu aishi na limalaya ndani kisa nini yaani.

Kama ndoa haikupi furaha ya nini sasa si bora uwe single tu..
Sasa ndio nini hiki umeandika?
 
Sio lazima uandike..

Kwani ndoa kuvunjika nini cha ajabu???

Wewe ndo utakuwa wa kwanza au

Sasa mtu aishi na limalaya ndani kisa nini yaani.

Kama ndoa haikupi furaha ya nini sasa si bora uwe single tu..
Sasa ndio nini hiki dogo?
 
Kwaiyo unaoba labda shemeji yako ana date na watu tofauti tofauti mtaani na usimshtue mshkaji wako achukue taadhari? Then aambukizwe ukimwi wote wafe waache watoto umeokoa nni? Kwanini ufanye dhambi alafu utake uovu wako ufuchwe na marafiki , hao sio marafiki bali wanafiki .mimi bibafsi siwez kuficha ujinga kama mtu mzima nitashauri na kuchukua maamuzi kutabaki kwa muhusika .
 
Kwaiyo unaoba labda shemeji yako ana date na watu tofauti tofauti mtaani na usimshtue mshkaji wako achukue taadhari? Then aambukizwe ukimwi wote wafe waache watoto umeokoa nni?
UKIMWI unaua taratibu lakini maneno yako ya umbea yataua haraka ndoa ya rafiki yako...
 
Back
Top Bottom