EFD ni 590,000 na Dirm VFD ni 300,000, service charge ya EFD ni 250,000 kwa mwaka huku ni 60,000 ( na haubebi mashine kupeleka ikafanyiwe kazi inafanyiwa online unaendelea na shughuli zako,) EFD unatoa z-repoart 1000 na point inafikia ukomo kwamba inakufa inabidi ununue nyingine lakini hii ukifunga ndio maisha yote na z-report zindaenda automatic.EFD bei gan na I hiyo ni bei gani .tuanzie apa kwanza
Unapatikana mikoani?EFD ni 590,000 na Dirm VFD ni 300,000, service charge ya EFD ni 250,000 kwa mwaka huku ni 60,000 ( na haubebi mashine kupeleka ikafanyiwe kazi inafanyiwa online unaendelea na shughuli zako,) EFD unatoa z-repoart 1000 na point inafikia ukomo kwamba inakufa inabidi ununue nyingine lakini hii ukifunga ndio maisha yote na z-report zindaenda automatic.
Swali. 300000 napewa na hiyo mashine?Ndio tunapatikana mikoa yote Tanzania
Wamechelewa Sana kuanzisha hii kampeni..Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yotenili kuepukana na kadhia ya Kukamatwa na TRA 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...
Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.
Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348
View attachment 2101549
View attachment 2101550
Sahau.Wamechelewa Sana kuanzisha hii kampeni..
Mwaka ujao serikali ipunguze utitiri wa Kodi na double taxation Ili kuinua uchumi zaidi na kukuza biashara..
Mama atapunguza ikiwemo tozoSahau.
Zaidi usishangae gharama kuongezeka kwa kisingizio cha kujenga Madarasa..
CCM ni Mumiani, wanyonya Damu..
Imekaa sawa eeeh!! Sasa kwa taarifa yako, kukwepa kuko pale pale. Maana tunafahamu sehemu kubwa ya hizo kodi mnazitumia kwenye matumizi ya hovyo hovyo tu.hii imekaa sawa
Si tuliambiwa mapato yameongezeka watu wanaenda kulipa wenyewe bila shuruti😀😀Zimebaki siku mbili tu mamlaka ya mapato Tanzania kuanzisha kampeni maalumu ya KAMATA WOTE mikoa yotenili kuepukana na kadhia ya Kukamatwa na TRA 'Muuzaji kukutwa hajatoa risiti faini yake ni kuanzia 3,000,000 hadi 4,500,000...
Ili kuepuka na faini pamoja na kadhia hiyo jiunge na mfumo wa DIRM VFD ni mfumo mpya uliothibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE kwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta kwa kwa shiling laki tatu tu, (300,000 unapata pamoja na printer).
Huu mfumo ni Bora na rafiki kwa wafanyabiashara au watoa huduma kwani utakaokuwezesha kutoa risiti popote ulipo bila kikomo, inapunguza garama mpaka 50%, hakuna marekebisho ya mara kwa mara n.k.
Wasiliana nasi Dirm VFD kupiga au whtsp 0753688348
View attachment 2101549
View attachment 2101550
hiyo software unaweza kutumia kwenye simu yoyote haihitaji kuistall na unaweza kuunganisha na simu zaidi ya moja, mfano wanafanya biashara ya kusambaza bidhaa haihitaji kila gari inayotoka kwenda kusambaza mzigo iwe na mashine ya EFD akiwa na simu yake na printer ndogo inatosha kutoa risiti.Kwahio wameona njia nzuri ya kufanya watu waweze kulipa kodi na kuwasaidia kwenye makusanyo ni kuwauzia kitendea kazi cha makusanyo hao ?
Kwanini software isiwepo tu mtu unaunganishwa ili uweze kutumia device yoyote au wasisambaze devices hizo kwa watu ? (Hii nchi bado sana) kwahio watakamata watu na kuwapeleka wapi gerezani ili watumie makusanyo kuwalisha ?