TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We takataka kweli,na wewe ukifa titashangilia vilevile,wauaji wakubwa nyie
Vifo vyenu vinauma ila vya wavaa kombati mnashangilia. KUFENI TU WAJINGA NYIE IKIWEZEKANA UKOO WENU WOTE UFE.
Yaani nyinyi mbwa ikiwezekana mfutwe kabisa,mimi si pro-ndugai,lakini kwa nini ushangilie kifo cha mtu!?..sikua pro-magu,sikushangilia kifo chake
 
Inasikitisha sana
Maisha ya hapa Duniani ni ya kupita.... zike kauli za kejeli za kuwatoa kina Sugu Bungeni hadi kuwachania sukuari kwishaaa!!

Tenda wema, jisafishie maisha yako ya milele - toa haki acha kutumia madaraka kuwanyamyasa wenzako.

SOMO: Wote tumo safarini - tenda HAKI katika haya maisha mafupi ya Duniani uliyopewa na Muumba mbingu na nchi.
 
Wazee wa Polonium(kichupa cheusi) wameshaanza kazi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…