TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwamba kifo now ni punishment?
 
Karma is real ndio maana nimuhimu kutoshindana na Mungu ni bahati mbaya watawala wetu wanashindana na Mungu kutakuwa na nusu mlingoti nyingi sana maana Mungu huwap8nga wenye kiburi.. end
 
When evil is the leader
 
Malizia...
Mkewwe anarithi mafao yote ya uspika
Anaolewa na kijana mdogo
Wanatumbua hela za marehemu
Ndio maana Ndugulile alisema kula vizuri uishi vizuri,ukifa watu watavitumbua bila huruma.Yule jamaa aliona mbali hata kifo chake.
 
Sasa kinachofuata kuwa fundisho Ndio kinasemwa sana! Mbona shetani, Frao, Goliath, Muhamad, Hitler, Mussolin mpaka vitabu wameandikiwa kabisa Kwa ajili ya kumbukumbu zisifutike?
Napigia mstari neno Muhamadi
 
Watu hawana hofu ya Mungu
 
Usipojisahau haufi? Andika ujumbe mzuri
 
When evil is the leader
Nazidi kujifunza hata kwa familia tunatakiwa kuwa wapole sana. Hakuna linalodumu ila upendo ndiyo unadumu. Same kama Lowasa, naye kuna Mumama Mlokole same same pale Dodoma yuke Mumama alisimamishwa uongozi for sometimes kisa aligoma maelekezo ya lowasa na watu wake wakasubiri yupo likizo mumama wakamchomekea kitu aisee yule Mumama aliteseka balaa ila baadaye akaja kurejeshwa kwenye nafasi yake baadaya ya Maombi makali ila mwisho wa siku Ngoyai uwaziri mkuu ukaota mbawa na hatimaye u mauti.
 
Ndugu yangu wewe usisahau kuwa mshtuko wa moyo hauhitaji uumwe hivyo unavyodhani.
Cause of Death itajulikana after Post Mortem .
Ndugu Ndugai amemaliza mwendo wake!
RIP
 
Moja ya viongozi wapumbavu wa awamu ya tano
 
Uzuri wapesq unaweza acha familia mahari salama kuliko kwaasiekua nacho kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ