Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
..2016?

..ina maana ni orodha iliyoandaliwa na watu wa JK?

..au watu wa mwanzo wa utawala wa Jpm kabla hali ya hewa haijachafuka?
Ni orodha ya zamani si ya juzi wala jana!

Alieileta mwambie alete chanzo cha alikotoa au aweke full copy uone kama ni ya mwaka huu
 
Rudi Tanzania jaza then SEPA..

Mimi yangu tokea 2014 sijalipwa..

Idara yangu wamelipwa 3 (madai ya 2015).

Nadhani awamu ijayo mama atanikumbuka.

#YNWA
 
Hoja ya Mwandishi ni kwamba Mhe Tundu Lissu amelipwa na Samia baada ya kudhulumiwa na Magufuli sasa wewe unataka kufosi tuwajadili na hao wengine waliolipwa basi anzisha Uzi kuhusu hao jamaa hakuna mtu anaekukataza na tutakuja kuchangia.
kama kuna hao wengine unasemaje lissu akitaka kudhulumiwa!!!

unajua ifike hatua acheni akili zenu zifanye kazi,hii ni kuendekeza maradhi ambayo hamna.
nimekupa na maelezo kwamba,maagizo ya kulipwa lissu yapo tokea magufuli yupo,hutaki kuitwa mpumbavu.
 
..2016?

..ina maana ni orodha iliyoandaliwa na watu wa JK?

..au watu wa mwanzo wa utawala wa Jpm kabla hali ya hewa haijachafuka?
Msaliti hawezi kulipwa,

Mwambieni Malisa aache uzushi
 
Sijabandika chochote ila nimesogeza dirisha wengine wachungulie ndani kwa ukamilifu kujiridhisha kutokana na ubishani unaoendelea ukiwa miongoni mwao.

Kwani wewe umeona nimefanya nini?
Hamna kitu msaliti hawezi kulipwa
 
Umeshaambiwa hiyo ni orodha ya toka 2016!
 
Kwa hiyo ni stahiki ya ubunge kati ya 2015-2020?

Hata hivi karibuni TAL amedai kufanya mazungumzo na afisa mwandamizi wizara ya fedha kuhusu stahiki zake hapo napo vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…