Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

Status
Not open for further replies.
Baada ya kifo cha dikteta uchwara amani ilitawala ghafla nchini na sasa waliodhurumiwa haki zao wanapewa haki zao.
 
Hakuma ulazima wa kukubaliana na udhalimu!
Angeweza kujiudhuru kama kulikuwa na shinikizo la kufanya ivo.Lakini jamaa alichekelea na kukoleza moto.
Ajiuzulu alafu aende kula nini? (SOMETIMES YOU HAVE TO TWIST WITH SITUATIONS) THAT'S THE MEAN OF LIVING INTELLIGENT,KUSUSA WAKATI MWINGINE SIO AKILI.UKISUSA WENGINE WALA,KUNA WENYE AKILI ZAO WALIMWELEWA NI MTU WA AINA GANI NAO PIA WAKAWA WANAFOKAFOKA....!
 
Mungu mbariki lissu.

Mwenye link ya haya majina tuangalie ndugu zetu please
 
mjinga ni wewe ambae badala ya kujibu hoja au kuweka wazi nini baya na hii mada unapayuka tu, anyway lack of education is your major problem
Also lack of capital, lack of good health especially mental health, lack of food, shelter and clothing yawezekana ni wale wanyonge wavaa viraka walikuwa wanaosubiri Mungu wao akipiga barabarani anunue mahindi ya kuchoma atafune kama nini sijui😃

Ongezea na poverty 😃😃
 
Habari za mchana huu wakuu,

Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake.

Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.

Je, wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?

NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKIA. HAKI HUINUA TAIFA.

View attachment 1828474
Jobu cd4 hakuna marukanga yamepanda mpka kichwani
 
Habari za mchana huu wakuu,

Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake.

Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.

Je, wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?

NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKIA. HAKI HUINUA TAIFA.

View attachment 1828474
Makamanda uchwara mumeumbuka ile mbaya. Acheni kuwa na muhaho.
 
Kuwepo katika list ni jambo na kulipwa ni kitu kingine ila muda ni hakimu mzuri
 
Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Serikali inajua Kama hakuwa msaliti ndo maana amewekwa kwenye orodha ya watakao lipwa. Usifuate mkumbo ndugu yangu. Mambo mengine tumia akili Kama Ni msaliti amemsaliti Nani. Duh! Watanzania kazi tunayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom