Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Wewe wasemaUjinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasemaUjinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Ajiuzulu alafu aende kula nini? (SOMETIMES YOU HAVE TO TWIST WITH SITUATIONS) THAT'S THE MEAN OF LIVING INTELLIGENT,KUSUSA WAKATI MWINGINE SIO AKILI.UKISUSA WENGINE WALA,KUNA WENYE AKILI ZAO WALIMWELEWA NI MTU WA AINA GANI NAO PIA WAKAWA WANAFOKAFOKA....!Hakuma ulazima wa kukubaliana na udhalimu!
Angeweza kujiudhuru kama kulikuwa na shinikizo la kufanya ivo.Lakini jamaa alichekelea na kukoleza moto.
Halafu atazidi kuwa mfupi kwa sababu ya hasiraitakuwa kavimba uso kama koboko
Also lack of capital, lack of good health especially mental health, lack of food, shelter and clothing yawezekana ni wale wanyonge wavaa viraka walikuwa wanaosubiri Mungu wao akipiga barabarani anunue mahindi ya kuchoma atafune kama nini sijui😃mjinga ni wewe ambae badala ya kujibu hoja au kuweka wazi nini baya na hii mada unapayuka tu, anyway lack of education is your major problem
Kumbe na wewe hujambo kwenye kurusha mawe enh. JF hata uwe mwema vipi, in time lazima mtu uende na beats tu. JF ishakuharibu. [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu atazidi kuwa mfupi kwa sababu ya hasira
Mlivyo wanafiki, kwani hawa wanaoongoza walikuwa awamu gani?Dikteta alikuwa shetani bora alitangulia,sasa tunaishi kwa raha na mstarehe
TrueYou’re living in the past. Things have changed. The ground beneath your feet is shifting.
Jobu cd4 hakuna marukanga yamepanda mpka kichwaniHabari za mchana huu wakuu,
Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake.
Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.
Je, wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?
NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKIA. HAKI HUINUA TAIFA.
View attachment 1828474
Unateseka sana kafukuwe uingie na wewe....Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Makamanda uchwara mumeumbuka ile mbaya. Acheni kuwa na muhaho.Habari za mchana huu wakuu,
Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake.
Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali alikuwa anajua kabisa anaumwa yuko nje kimatibabu.
Je, wale watukanaji wa Lumumba mtajisikiaje?
NAKUPONGEZA MAMA KWA KUSIMAMIA HAKIA. HAKI HUINUA TAIFA.
View attachment 1828474
Nyambafu weweUjinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Bado kidogo na wale covd 19 watafurushwaMpaka kufikia hapo sidhani kama Ndugai ataleta ujuaji wake tena, na sijui ataificha wapi sura yake.
Prominent figureKwa vile na wengine wapo- why Lissu pekee?
Wamelipwa watumishi wa umma elfu 11, ila kwa Lisu hapana.Weka link hapa Watu tuamini
Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.
Serikali inajua Kama hakuwa msaliti ndo maana amewekwa kwenye orodha ya watakao lipwa. Usifuate mkumbo ndugu yangu. Mambo mengine tumia akili Kama Ni msaliti amemsaliti Nani. Duh! Watanzania kazi tunayo.Ujinga mtupu, hakuna hela ya kulipa wasaliti.