Job Ndugai ndani ya Western Wall of Jerusalemu

Bunge la nn wakati yeye anapewa masurufu ambayo ni 80% ya anayoyapata Tulia??

Yaani Ndugai anashinda amelala lkn ,anapata 80% ya fedha yote anayosotea Tulia.
Hata mimi ningezurula ulimwenguni aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ndio kaperinaumu..

Nani kamruhusu kuvaa hiyo kofia ya Rabbi?
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…