Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Slavery mentality, aliyewadanganya hilo taifa ni teule aliwaharibu akili....anyway huna haki ya kumsemea dhambi zake maana nawew unazo zako.Jamaa mjanja. Kaenda kufuata baraka. Jamaa nimeanza kumkubali. Dhambi zake zote zimesamehewa. Nami natamani ningepata iyo fursa. Yani jamaa kabahatika kuwa kama myahudi. Kumbe inawezekana ukawa myahudi.
Hongera sana Job.
STRUGGLE MAN Bwana Utam
Utakuwa umewajua juzi wew, em fanya utafute pesa na upate nauli uende huko jerusalem, hakika utakalofanyiwa huko hata ushuhuda humu hutoleta, maana muonacho ktk media ni tofaut na reality, hiyo mijitu mnayoita wayahudi, ni watu wenye roho mbaya, ubaguzi mkubwa, kubwa kulko ushoga kwao ni kipaumbele, jiandae kuolewaView attachment 2264752Wayahudi si wabaguzi ni watu pouwa sana.
Wewe ulishafanya lipi la maana? Mnapenda kulalama tu kichwani zero!EeeeenHeeeee!
Niliposoma kichwa cha habari ya mada yako nikadhani ni utani!
Lakini sasa nimeiona picha. Hii haiwezi kuwa ya 'photoshop'!
Nchi hii tuna waigizaji kwelikweli.
Huyu bwana kavuna bila jasho miaka yake yote ya ubunge na uspika, huku uwezo wa kufanya lolote la maana akiwa hana.
Sasa anafaidi matunda aliyopewa na CCM.
Lisu ndo nani? Mjinga mmoja hivi!Mungu yupi? Wa kumwonea Lisu? Kuwaonea wapinzani?
Imani yako inakutuma hivyo, lakini Mwenyeenzi Mungu mwingi wa rehema na kweli, aliye umba dunia yote, hapatikani Yerusalemu na Makka tu! Yupo kila mahali, ameijaza dunia yote! Anawapa watu wote wamwombao na kumwamini popote thawabu! Siyo ndugu yako tu, mimi nimemwomba nikiwa hapa Rau Madukani na amenijazia watoto nyumba tele! Sasa hivi namlilia ada tu!Hicho kinachotokea hapo ni upepo wa baitul maqdis upande wa pili.Kwa sababu kwa mayahudi hakuna baraka yoyote.Na ukitaka majibu ya uhakika ni lazima uende alkaaba iliyopo Makkah.Kuna ndugu yangu alikata tamaa kupata watoto.Alipokwenda Makkah na kumshtakia Mungu sasa ana watoto wa,mejaa nyumba.
Atubu vizuri .... alichokifanya miaka sita ya utawala uliopita kitakuwa kinakula nafsi yake.
Behind the key board you can say anything .....!!Lisu ndo nani? Mjinga mmoja hivi!
Amependeza...
Ndugai ni shetani kabisaAtubie makosa yake aliyowatendea watza
Ndugai ni muovu kupita kiasiHawa watu wakipataga matatizo ndiyo hujifanya kujipeleka karibu na Mungu huku nyuma kizani wanatenda uovu wa kutisha.
Yule ni mzee ni shetani snHata akitubu vipi. Dhuluma alizo mfanyia Lissu na Watanzania kwa ujumla kwa kuiba kura na covids hakuna jinsi Mungu ata punguza hasira juu yake.
Arudi kwanza kwa Watanzania kuomba msamaha ndipo aka tubu kwa Mungu
Hata maandiko yana sema kapatane kwanza na ndugu yako.
Huyo mtu wako, Ndugai, au kama ni wewe mwenyewe, hana kitu kichwani, hili liko wazi.Wewe ulishafanya lipi la maana? Mnapenda kulalama tu kichwani zero!
Katika Doctrine za Kikristo iko hivyo, ambayo ni tofauti na Islamic DoctrineNahisi watu hutenda maovu kwa sababu wanajua watasamehewa, ingetakiwa kusiwe na msamaha kwenye makosa ya makusudi, ingepunguza watu kutenda makosa, mtu anapofanya makosa afu anaenda kutubu ni kama kejeli kwa mtoa msamaha
Naomba kuuliza: hivi kujiuzulu na kustaafu ni sawa, au maneno hayo yanatumika interchangeably? Asante.
Kabisa, Ndugai ukatili aliowatendea watanzania ni mkubwa kiasi cha shetani kumwogopa huyu Bwana. Aanze uupya, Mungu ni mwema kila wakati.Mungu amrehemu na sasa aanze upya na Bwana Yesu Kristo.