Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Hueleweki unauliza nini? Be clear on your own mind first.Hamtambui Biden kama Rais wa US, au hamtambui vipi! Tufahamishe tuanze kujjadili.
Mwaliko ulikuwa wa mkuu wa nchi, Samia alikuwa na udhuru gani?
Yes, on speaking. Nyerere, Mkapa, Obama will not have such issue. Msikilize Rais wa Zambia hapo anavyotema madini. Sauti ya mamlaka, kauli thabiti anavyoongea kwa kujiamini. Akianza kuongea hata wewe huwezi kulala. Hakuna kujiumauma.Duh!
Just on the basis of that speech, you have judged and concluded on his lack of competence?
Nafikiri akisinzia yeye wapo masecretary na pia si alisema atapumzika visiwa vya zenj kizimkazi?Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa….
View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3
Babu kaona usingizi unamzidi na Mpango anamkata jicho kishkaji, kaona apige glass ya maji lakini wapi kauchapa tena. 🤣Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa….
View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3
Ni kwa nini wakati wa Tz akasinzia?Lengo lilikuwa sio kukutana na Tanzania, Tz kajipendekeza tu Ndio maana kapuuzwa kusikilizwa
Kama hizi ndo sera zenu basi hamtakiwi nchiniKwahiyo mlitaka asikilize ushuzi toka kwa watekaji na wauaji chini ya mshangazi wenu usiojielewa huko nchi ya Nyanshi
UKIWA NA NGUVU YA MUNGU NDANI YAKO WATU WALIO POSSESED NA SHETANI KUSINZIA NI KAWAIDA.
LIVE LONG MPANGO NA ENDELEA KUMWABUDU MUNGU WA KWELI, TUNAKUHITAJI HAPO 2025 ✝️🙏🏿💯💪🏿
Anaongea kama anataka kulia au anaenda kulia hapo mbeleni kidogo kwenye hotuba yake.
Sauti haina authority, kujiamini, kauli thabiti.
Anacho cha vitabu. kukariri. Kiuchumi. Kuhutubia dunia bado sana. Hafiki hata nusu ya Obama,Nyerere, Mkapa.
He is extremely boring speaker.
Mentality ya kitumwa ingekuwa ni kiongozi mwafrika hakuna rangi angeacha kuona.Akifanya mzungu anatafutiwa sababu Inferiority complex ni tatizo kubwa sana.IngekuwA mtanzania mngefanya vurugu usiseme
Nilinukuu hapa JF kwa Bi FaizaFoxy madai ya uwepo wa Robot "Biden" , Nawe umekuwa mtu mwingine ukiuliza "robot". Je kuna ukwelie wowote? Nyani Ngabu huenda hili limenipiaHuyu ni biden halisi au robot
Aisee 😯Lengo lilikuwa sio kukutana na Tanzania, Tz kajipendekeza tu Ndio maana kapuuzwa kusikilizwa
Utembeaji wake na jinsi mikono unavyoeweka na ugeukaji pia unatia mashaka na baadhi ya vidio zake ukiangali kuna matendo sio ya kawaida kuna muda anaelekezwa jambo anabaki kuzubaa kama kinyagoNilinukuu hapa JF kwa Bi FaizaFoxy madai ya uwepo wa Robot "Biden" , Nawe umekuwa mtu mwingine ukiuliza "robot". Je kuna ukwelie wowote? Nyani Ngabu huenda hili limenipia
Mpango anavyoongea hata wewe utasinzia tu...
Of course, halafu sio kitu kigumu kukimudu. Ukiwa kiongozi wa juu your words, presence, mannerism vyote vina count. Unarepresent Taifa lako.Inabidi washauri wake wampe mbinu za Public speaking.
Huyu mzee hakusinzia ,alikua anatafakari tu ,mtu kalia kile kiti white House ,sio mchezo ,mwone vile na achana nae , anaijua Dunia mpaka anaumwaWakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
View: https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa….
View: https://youtu.be/Ikyt0nNX5lI?si=fj6waQjv-t4m6aC3
Hawa watu ni kama hawajielewi. Wanafikiri wanaweza kuteka, kufunga, kuua kuiba chaguzi na bado wakaheshimika.Na ukiongezea alikuwa anasoma 'script' ya wanavuozungumza wanaCCM kupongeza mkuu mafanikio ya mteuzi wao na mawazo ya mwenyekiti wa chama dola kongwe. Inaonesha anayesoma au kutoa hoja haamini katika kile anachosoma au kusema kwa kusifia, kutukyza na kuenzi hadi inaathiri sound effect